Mwanamuziki wa kizazi kipya Ali Kiba amewasili Ujerumani 25.06.08 Tayari kabisa kwa shoo ya Miss Tanzania EU 2008 inayotegemewa kufanyika Jumamosi 28.06.08 mjini Essen Ujerumani.
Ali aliwasili pamoja na promota wake Kassim wakitokea Oslo - Norway ambako walifanya makamuzi ya kuua mtu.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO