Filamu ya wiki: The Pain na Mr Big

NIMEPATA kuona filamu moja ambayo Mr Big alikuwa amefanya vyema kabisa. Mimi napenda kuamini kwamba bado Mr Big hajapatiwa nafasi yake kama ...


NIMEPATA kuona filamu moja ambayo Mr Big alikuwa amefanya vyema kabisa. Mimi napenda kuamini kwamba bado Mr Big hajapatiwa nafasi yake kama kinara wa filamu awe adui bora au awe mtu bora.
Napenda kuamini kwa kuwa ukiangalia filamu kadhaa za sapoti Mr Big amefanya vyema sana kuliko hii ndani ya Pain, amekuwa mtu asiyestahili kuvaa kivao kile cha mapenzi na muuaji.
Wakati mwingine hufikiria sana tatizo hili, tatizo la mtu kuona kwamba lazima aigize kokote kule na watumiaji wakijaribu kuwapata watu ambao hawafai kwa nafasi zile wanazotaka wacheze lakini maarufu na hivyo kuwatumia vibaya.
Kitendo cha kumtumia Big kama muuaji wa mpenzi wake kumenipa taabu kidogo juu ya nafasi wanazopewa waigizaji ambao wengi wao wamekuwa wakipewa nafasi ambazo si zao na kusababisha filamu kudorora na kutochukua kasi inayotakiwa ya utamu.
The Pain pamoja na kwamba imetengenezwa na mtu ambaye nilimpa big up katika Masaa 24 kwa kuweza kuweka 'tension' kwa muda wote na kuwatumia vyema waigizaji kwa namna yao, imekosa ule msisimko ambao ungeliweza kuupata kama dairekta angeliwapanga watu vyema na hadithi yake kuachana na 'flashback'.
Kuna kupwaya kwa nafasi ya uigizaji ambayo imefanya hadithi nzima hii ya mikasa ya maisha kuwa kama kituko na mchezo wa kuigiza badala ya kushika nafasi yake.
Maingiliano ya hadithi na udhaifu wa sauti inafanya kitu ambacho kinatakiwa kuwa bora kukosa mwelekeo wa utamu stahiki wa uangalizi wa sinema.
John Lister ni mtu mzuri lakini anafaa kukumbuka kwamba asikimbilie kutoa tu sinema na kutumia waigizaji wake vibaya, bali wametengeneza sinema mtu kama Mr Big, sinema ambayo ina mwenendo wake wa saa 24 kwa kuwa anafaa kwa hisia za mwili na aina fulani ya uigizaji wenye mwelekeo wa kufurahisha na kutoa burudani zaidi.
Ninapozungumza The Pain sitaki hata kumzungumzia mwanadada ambaye alionekana kupelekwa tu lakini akiwa anakosa ule umakini wa kuwa mzuri na mpenzi wa dhati tukiachiwa tu maneno ambayo hatuyasikii vyema.
Huenda kopi niliyonayo si sahihi, lakini ukiachia mbali kuendelea kutuonyesha mlevi ambaye hafanani na ulevi bado hatumtendei haki mfu wetu ambaye alionekana na kutoweka bila kutoa hisia za mwelekeo.
Naam, tunaona hasira na kejeli katika utambulisho lakini hii si dhamana pia ya mtoto ambaye anaonekana ati hajui kusema na anapata mshtuko, hivi ni kweli?Yaani spidi ya kkumkuza mtoto yule inaenda kinyume kabisa na taratibu za kitaalamu.
Tunapozungumzia uigizaji wa filamu wakati fulani inafaa tufikiri pia uwekaji vizuri wa watu wetu kwa lengo la kunogesha simulizi ambalo ama hakika linastahili kufanana nasi si kwa kutulazimisha bali natural flow.
Kila mtu anaweza kusema vyake lakini kwa leo naona heri nimjadili Mr Big tu.Muigizaji ambaye namuona yu mzuri lakini naona kapewa nafasi mbaya ndani ya Pain halkafuj tunakosa utamu wake , hali ambayo inamfanya apwaye na hii si kawaida yake.
Tazama tukio zima la mauaji na kukamatwa linavyoonekana kuwa mzaha mtupu.Lakini kwa kuona inafaa kuonwa kwani kila mtu akichangia kuona kasoro tunaisukuma mbele fani hii ambayo bado inahitajika sana kutuburudisha na kutuelimisha. Na tunapozungumza filamu za kibongo tunautaka ule ubongo wetu.
Ifuatayo ni misimamo mbalimbali ya filamu kwa wiki ilioyopita.Msimamo wa filamu katika maktaba ya Salamander( kasi ya kuazima) na pia majuu katika ten za USA.
Filamu za Kiswahili
1--- COPY
2--- MISS BONGO
3--- POINT OF NO RETURN
4--- SHE IS MY SISTER
5--- DAR TO LAGOS
6--- THE GREENA
7--- AGANO LA URITHI
8--- I CANT FORGET
9--- DIVERSION OF LOVE
10-- MAHABUBA
Filamu za Kiingereza
1--- THE RANDIOTION
2--- BATTLE TO HADITHIA
3--- THE TAKE
4--- 10.000 BC
5--- WHY DID I GET MARRIED
6--- SHOOT THEM UP
7--- FORBIDEN KINGDOM
8--- RAMBO IV
9--- WE OWN THE NIGHT
10-- NO COUNTRY FOR OLD MAN
Filamu za Hollywood (Top Office Box)
1.Kung Fu Panda
2.You Don't Mess With the Zohan
3.Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull
4.Sex and the City
5.The Strangers
6.Iron Man
7.The Chronicles of Narnia: Prince Caspian
8.What Happens in Vegas
9.Baby Mama
10.Made of Honor


NB Makala kama haya yametoka katika gazeti la habariLeo Jumapili ambako nina nafasi ya kuzungumza na watengeneza sinema wetu.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,301,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4810,habari. dodoma,23,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Filamu ya wiki: The Pain na Mr Big
Filamu ya wiki: The Pain na Mr Big
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtjfn1RNLEYX-gjLgZH4r4H0Wybk64Sgc5qY_M52EUe4rL21SA7oKCjljXiMrH-VOkJQIszzUnJQKkgIyklYTxFNB1MTTk4d3BLv9g8jH-j7YaCkz2JJWCv94DchyphenhyphenHVRdrQbGAIyWvRaqq/s320/cinema.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtjfn1RNLEYX-gjLgZH4r4H0Wybk64Sgc5qY_M52EUe4rL21SA7oKCjljXiMrH-VOkJQIszzUnJQKkgIyklYTxFNB1MTTk4d3BLv9g8jH-j7YaCkz2JJWCv94DchyphenhyphenHVRdrQbGAIyWvRaqq/s72-c/cinema.JPG
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2008/06/filamu-ya-wiki-pain-na-mr-big.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2008/06/filamu-ya-wiki-pain-na-mr-big.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy