Watanzania wajasiriamali waishio
Uingereza mnakaribishwa kwenye mkutano hapa Ubalozini,
3 Stratford Place ,
London
W1C
1AS.
SIKU: Jumatano 2 Julai 2008Muda: Saa 12:00 JioniMsemaji: Omari Issa
Wahusika: Watanzania wanaojiajiri au wale wenye miradi midogo midogo wanaoifanya hata kama wameajiriwa.
Wale mtakaopenda kuhudhuria Tafadhali mnaombwa kujiandikisha kwa kutuma barua pepe kupitia dilunga@tanzatrade.co.uk
Ama mnakaribishwa pia kujiandikisha ubalozini.
Chabaka KilumangaNaibu Balozi

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO