There is something very seriously wrong with Tanzania artist and this can been seen katika tamasha la filamu la kimataifa linaloishi ndani ya nchi hii ZIFF ambalo hufanyika Zanzibar kila mwaka. What is wrong jamani!!!!!
Nikiandika katika busati la filamu Habari leo Jumapili nilishawahi kusema jamani tutumbukize filamu huku kwani ipo nafasi ya kwenda maeneo mengine, kukosolewa na pia kuna sababu... lakini Roma haikujengwa kwa siku moja, lazima tusonge mbele.. kwa kujionyesha hadharani.. lakini wapi kw amara nyingine tena tamasha la 11 lina upungufu mkubwa wa local component.
Watu wanatoka all the way from Europe,America and Far East to look for nafasi just to shoo his or her film but Watanzania wanaozalisha filamu kwa fujo kwa sasa wamepeleka filamu hizi zifuatazo na moja nadhani ni ya Da Chemi huko Marekani, Bongoland II ambayo katika entry imeelezwa director wake ni Josiah Kibisa.
ZIFF hufanyika Zanzibar kila mwaka na ni tamasha kubwa kama hutaki filamu yako iingie katika mashindano lakini angalau uonyeshe basi kwa watu:Nini majidai kama hatuwezi hata kufanya kweli kwenye tamasha lenye heshima Afrika Mashariki na Kati?
CEO wa ZIFF mtanzania mwenzetu, manake nasikia wakati ule (zamani) watani zetu wakiingiza filamu kama nyuki tulikuwa tunasema ohh Foreigners hawatutakii mema, sasa huyu mswahili wa Tanga mwenye utaalamu wa filamu ambaye ameishi ughaibuni na anafundisha ughaibuni ametoa wito sana toka mwaka jana akililia filamu za nyumbani lakini mwe wamesema waluguru chilanga komo, yaani unayashangilia maji halafu unakuwa kama huna akili nzuri jamaa wanakucheka, tuache hayo kwani tulikuwa tunazungumzia filamu zilizoingia ZIFF kutoka hapa nyumbani nazo ni hizi zifuatazo:
Bongoland ll,Mwanahiti l (oloibon na Layoni)na ll Zawadi ya Fisadi;The Trip ya James Gayo; Sasa na Jando.
Can you imagine? Watu sijui niwasemeje, labda sijui woga? Haya hatukupeleka hizo sineema zetu je tutaenda kuhudhuria kujifunza manake nasikia kuna manguli wa filamu kutoka Amerika ya Kusini, Amerika kaskazini, Nigeria na Asia ya mbali wanakuja kutufunza mambo ya ABC za utengenezaji sinema, tutakwenda? Mimi yangu macho.
CEO wa ZIFF Dr Martiun mhando amesema kwamba hakuwa na chaguo la kutosha kwani hata zile zilizoletwa hizo zitakazoonyeshwa ni nafuu zaidi na yeye anasema I wonder, kweli hata mimi namuunga mkono I wonder.Hatuwezi kukua kisanii kama tusipokubali kuwa tunamapungufu na lazima tuwasikilize watu watusaidie.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO