Monday, September 29, 2008

DC anapojitosa ndani ya pango kuona asili


Mkuu wa Wilaya ya Mogorogo, Said Mwambungu, akiwaongoza baadhi ya wajumbe wenzake wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Morogoro, kutoka ndani ya pango kubwa la jiwe lenye mawe yaliyounganika mithili ya matiti yaliyotoa jina la Matombo .Picha hii ni kwa hisani ya John Nditi wa HabariLeo Morogoro.

1 Comments:

At October 17, 2008 7:53 AM , Blogger Innocent John Banzi said...

Msimbe. Sikujua kama una blog tamu kama hii. Waluguru wolonga yamta kweli! Unatoa vonjo vya aina mbalimbali na picha nzuri. Hapo Matombo ndiko nilikozaliwa, kwetu ni pale kijijini Kiswira. Babu na bibi zetu wanaamini kuwa jiwe hilo la Matombo lina mashetani hivyo hawaruhusu watu kulitembelea! Matombo kuna vitu vingi vya utalii kama itatangazwa. Umeshaliona kaburi la Inyasi? Jiwe la Hondelo? Daraja la Mayungi? Asante.

 

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

Links to this post:

Create a Link

<< Home