Monday, September 29, 2008

machinga wa kike Moshi


Father Kidevu yupo kaskazini kwa shughuli za kikazi na hii ni moja ya mambo ambayo amekuwa akiyaangalia na thenkyuu kwa advataizi.

Akina mama wakazi wa mjini Moshi wakipita mitaani wakitembeza nguo za mitumba kujipatia kipato katika familia ingawaje shughuli kama hizi katika miji mingine hufanywa na wanaume pekee.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

Links to this post:

Create a Link

<< Home