Bima ya afya tanzania wazungumzia yale ya Marekani

Haya ni makala ya mahojiano kuhusu suala la bima ya afya kama yalivyofanywa na TBC 1 na watu wa bima ya afya nchini. Makala hii nimeitafuta...

Haya ni makala ya mahojiano kuhusu suala la bima ya afya kama yalivyofanywa na TBC 1 na watu wa bima ya afya nchini. Makala hii nimeitafuta na kuiweka ili kuiwekea rekodi ya kimaandishi juu ya juhudi za kuhifadhi afya ya Watanzania kwa kuangalia mwenendo wa wenzetu.Chati ya maelekezo ya nini Obama alikuwa anafikiria katika afya na McCain sikuweza kuiweka hapa kwani inanisumbua kiutendaji.Bwana mdogo mmoja akizuka mitaa yangu atanisaidia kuiweka chati hiyo.Nawasilisha.

Swali

Moja katika ya mambo ambayo yamejitokeza na kuvuta zaidi hisia za watu wengi katika kampeni za uchaguzi za Marekani, ni suala la Bima ya Afya. Kwanini sasa au kwa nini suala hili limejitokeza kwa nguvu zaidi katika kampeni za mwaka huu pengine kuliko ilivyokuwa miaka mingine ya nyuma;
Majibu
Suala la Afya linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Watu wanapokuwa na Bima ya Afya wanakuwa makini zaidi kufuatilia, hasa kwa nchi kama Marekani ambako ni Taifa. Hapa nchini watu sasa wana Bima ya Afya hivyo wanakuwa makini zaidi kujua kinachofanyika katika nchi nyingine hasa Marekani ambayo ni Taifa kubwa; Kwa Wamarekani wenyewe suala hili limekuwa Ni agenda kubwa kwa sababu zifuatazo hasa katika kipindi hiki:-
· Zaidi ya Wamarekani milioni 45 hawana Bima ya Afya isipowa wachache wenye Bima za Binafsi (2007)
· Kuna kinamama takribani milioni 17 (wenye umri kati ya miaka 18-64) ambao hawana Bima ya afya yoyote;
· Wengi wa wasio na vipato wanalazimika kununua huduma wakati wanaihitaji (out-of-pocket) ambazo ni ghali;
· Mfumo wa matibabu uliopo kwa kiasi kikubwa ni wa Bima za Afya za Binafsi ambao ni ghali zaidi kwa hiyo ni watu wachache sana ndio wanaohudumiwa;
· Hofu ya gharama za matibabu (health shocks) zinawafanya watu wasio na ajira za kudumu inawaathiri wengi kisaikolojia na wanapougua wengi wanalazimika kuuza vitu vya ndani. Sasa hivi watu wameanza kuelewa kuwa jambo linalotokea sehemu moja ya dunia linakuwa na madhara au faida kwa sehemu nyingine au sehemu zote za dunia. Na linapokuja suala la Taifa kubwa kama Marekani kila mmoja anakuwa makini.
Swali
Ukiwa kama Mwenyekiti wa kamati ya kamisheni ya dunia kuhusu Mifuko ya Bima ya Afya katika Taasisi ya kimataifa ya Hifadhi ya Jamii Duniani. unaonaje Maendeleo yaliyofikiwa kwa sasa katika sekta hii ya Afya.
Majibu
Maendeleo yaliyofikiwa sisi katika kamisheni yetu tunaona tumepiga hatua kubwa tangu kabla sijaingia, mpaka nilipokuwa makamu wa mwenyekiti miaka mitatu iliyopita na sasa kama mwenyekiti. Mafanikio:
· Nchi nyingi zaidi ya 150 sasa ni wanachama wa Taasisi ya kimataifa ya hifadhi ya Jamii ambayo masuala haya yanajadiliwa na kubadilishana uzoefu kwa kina;
· Nchi nyingi hasa za Afrika ambazo kwa kipindi kirefu zilikuwa hazina mipango ya Bima ya Afya sasa zimeanza japo chache na nyingine ingawa hazijaanza suala hili wanalijadili na wamo kwenye mchakato mfano Uganda,Zambia na Malaysia;
· Sasa hivi kumekuwa na juhudi za pamoja hata katika ngazi ya kimataifa. Mashirika na Taasisi kubwa kama ILO, GTZ, WB, WHO sasa hivi wanafanya mikutano ya pamoja kujadili suala la Bima ya Afya. Mwanzoni kila taasisi ilikuwa inafanya peke yake;
· Bima za Afya zimesaidia sio tuu kupunguza mzigo kwa serikali katika bajeti za Afya lakini pia zimekuwa kichocheo cha maendeleo. Wanajenga Hospitali (Korea Kusini), wanafungua maduka ya dawa (Rwanda), wanachangia bajeti ya afya mpaka asilimia 80 (costa Rica) hii ni kwa manufaa ya wanachama wa Mifuko na wananchi wengine.
· Bima za Afya ndio limekuwa kimbilio la watu wa hali ya chini na kipato cha wastani kwa sababu ya kupanda kwa gharama za matibabu siku hadi siku. Na hii ni kwa dunia nzima. · Serikali na hasa viongozi wa Kitaifa wao ndio wamekuwa wasimamizi na waelimishaji wakubwa wa huduma hii. Hii inaonyesha umuhimu wa suala lenyewe. Mfano hapa nchi kwetu tangu awamu ya tatu hadi sasa Mheshimiwa Rais huwa anaongelea suala la Vitambulisho. Uganda wameweka Bima ya Afya katika ilani yao ya Uchaguzi na nchi kama Marekani kama tutakavyoona.
Changamoto
· Bado mifumo hii inahudumia watu wachache hasa tabaka la wafanyakazi na hii ni kutokana na mifumo ya kisheria wakati inaanzishwa. Haya hivyo nchi nyingi zimegundua upungufu huu na sasa wanarekebisha na ILO katika Mkutano wake wa mwaka 2001 (ILO General Assembly) walipitisha mpango maalum wa kuhakikisha na makundi mengine yapate huduma hii kwa kuunganishwa na mipango ya kitaifa;
· Ugeni wa dhana yenyewe hasa kwa nchi za Kiafrika.tulizoea Serikali kufanya kila kitu. Na vile vile hofu kwa sababu
Swali
Kwa nini Bima ya Afya imekuwa ni ajenda kubwa ya dunia kwa sasa ikilinganishwa na taratibu nyingine za upatikanaji wa matibabu?
Majibu
Huu ni mfumo nafuu na rahisi unaojiendesha wenyewe bila kutegemea mapato au bajeti ya Serikali
Utaratibu wa Serikali kuhudumia watu kupitia bajeti au kodi hasa kwa nchi zinazoendelea ni mgumu na ulishindikana miaka ya mwanzo tu baada ya Uhuru
Bima za Afya za Binafsi ni mfumo ghali na unaonufaisha watu wachache wenye vipatoWaajiri wanaotoa huduma za matibabu kwa wafanyakazi wao, wengi sasa hivi wanashindwa kutokana na gharama kuwa kubwa
Mifumo ya kiasili ya ki-ujima ya kusaidiana mingi imekufa au ni dhaifu kwa sababu ya watu wengi kuhamia mijini na kila mtu sasa ni yeye na familia yake.

Swali
Unafikiri upi unaweza kuwa mchango wa Mifuko ya Bima za Binafsi katika maendeleo ya nchi.
Majibu
Bima ya Afya ya Binafsi inao mchango katika utoaji wa huduma hasa kwa watu wanaohotaji huduma maalumu zaidi ya zile zinazotolewa na mifumo ya Kiserikali; Hapa nchini kwetu zipo Bima za Binafsi kama ilivyo kwa Marekani lakini inahudumia watu wachache hivyo zinao mchango lakini sio sawa na zile za Serikali ambazo zinahudumia watu wengi kwa makundi yote. Mchango wa Bima ya Afya ya Binafsi ni huduma za nyongeza ndio maana katika nchi nyingi mifumo hii inatoa huduma za ziada mfano Kanada Baadhi ya nchi kama Ajentina wiki iliyopita wametangaza nia ya kuondoa majukumu ya mifuko ya binafsi kwenye mambo ya Pensheni na kuyarudisha Serikalini.
Swali:
Sisi kama Taifa tunajifunza nini kuhusu Mifuko ya Bima ya Afya ?
Majibu:
Ni kitu muhimu ambacho tumefanikiwa kuwa nacho kwa hiyo tukitunza kwa hali na mali;Utaratibu huu wa Bima ya Afya hapa nchini ndio jawabu kwa wananchi wengi wenye vipato vya kawaida.
Mifuko hii ikitumiwa vizuri inaweza kuleta manufaa yafuayayo:-
· Kuongeza uwigo kwa kuihusisha na mifuko ya Afya ya Jamii kama walivyofanya Korea ya Kusini;
· Mifuko hii inaweza kuboresha miundo mbinu katika sekta ya Afya;
· Mifuko hii inaweza kupunguza mzigo wa bajeti kwa serikali na kuwa chanzo imara kwa watoa huduma;
· Mifuko hii inaweza kuwapa uhakika na matumaini wale wote wenye hofu za gharama za matibabu hasa ukizingatia ongezeko la magonjwa mapya, magonjwa sugu na ya kuduma pamoja na milipuko.

COMMENTS

Name

Anga,12,Arusha,27,batiki,1,Burudani,447,burundani,2,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,287,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,haba,1,habar,3,Habari,7051,habari dodoma,39,habari. dodoma,32,habaria,1,hadithi,23,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,6,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,739,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,miochezo,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,376,muziki na fasheni,20,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,9,SAYANSI ANGA,12,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,17,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,urembo,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTALII,1,UTAMADUNI,4,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Bima ya afya tanzania wazungumzia yale ya Marekani
Bima ya afya tanzania wazungumzia yale ya Marekani
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2008/11/bima-ya-afya-tanzania-wazungumzia-yale.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2008/11/bima-ya-afya-tanzania-wazungumzia-yale.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy