Kampuni ya Zain imenyakua tuzo tatu katika tamasha la kila mwaka la Dunia kwa Kampuni za Mawasiliano kwa nchi za Mashariki ya Kati lillofan...
Kampuni ya Zain imenyakua tuzo tatu katika tamasha la kila mwaka la Dunia kwa Kampuni za Mawasiliano kwa nchi za Mashariki ya Kati lillofanyika Dubai mwishoni mwa wiki.
Taarifa iliyotolewa jijini jana na kampuni ya Zain Tanzania ilizitaja zawadi hizo kama Tuzo ya Kampuni Bora, Tuzo ya Mwonekano Bora wa Huduma na pia Tuzo ya Ubunifu Bora wa huduma.
“Zain ipo juu sana katika Nyanja nyingi za mawasikliano.kampuni iemweza kuangalia mambo muhimu kama vile ubora,upatikanani na huduma bora kwa ujumla”, taarifa hiyo ilisema, ikimkariri mmoja wa majaji wa tuzo hizo.
Taarifa hiyo ilisema kuwa tuzo hizo zina lengo la kutambua kazi bora katika maeneo kumi na moja kupitia katika sekta ya mawasiliano katika enelo la Mashariki ya Kati na pia wadau wengine ambao wamesaidia kukuza sekta hiyo ulimwenguni.
“Tunayo rekodi nzuri katika shughuli zetu ambao zinakwenda sambamba na mwonekano mzuri ambao umewevutia watumiaji wengi katika eneo lote la mashariki ya Kati”, alisema Mtendaji Mkuu wa kundi la makampuni ya Zain, Dr Saad Al Barrak.
Alisema kuwa Zain ambayo inaendesha shughuli zake katika nchi mbalimbali uliwenguni ikiwemo Tanzania inatoa huduma bora na pia kuboresha maisha ya watu katika nchi hizo.
“Kwa kupitia huduma yetu ya “Mtandao Mmoja”, tunayo zaidi ya miaka miwili tu ili kufikia lengo la kuwa kati ya kampuni kumi bora duniani na zawadi hizi zinatupa moyo wa kuweza kuyafikia malengo haya”, alisema.
Kwa kuweza kushinda zawadi ya kuwa kampuni bora baada ya kuyashinda makampuni mengine katika ukanda wa mashariki ya Kati,Zain imetambuliwa mchango wake kutokana na ubunifu wa huduma zake, uongozi imara na pia mtizamo wake kwa maendeleo ya baadae ya kampuni.
Taarifa hiyo ilisema kuwa kwa tuzo ya huduma bora,majaji walitambua mchango wa kampuni katika kipindi cha miaka miwili tangu izinduliwe nap ia jinzi kampuni hiyo ilivyoweza kuweza kujitangaza na pia kujijenga.
Pia kampuni hiyo imezawadiwa kutokana na mtandao wake ambao unawezesha mtumiaji kuweza kuendelea kuwasiliana kwa kulipia kiwango kile kile kwa nchi za Afrika na Mashariki ya Kati katika nchi zaidi ya 20 na hivyo kuwapunguzia mzigo wa kulipia zaidi.
“Kwa kutoa huduma ya punguzo kwa huduma ya wasafiri,Zain imeonyesha mfano kwa kuona kuwa huduma ya maasikliano ni muhimu na sio anasa”, ilisema taarifa hiyo.
Hafla hiyo ambayo inawatuza watu binafsi na makampuni ambayo yameonyesha uwezo wa kutoa huduma bora ilihudhuriwa na na watu mashuhuri duniani kutoka katika sekta hiyo ya mawasiliano.
SOURCE:Zain

COMMENTS