Temporary Shelter

CHATROOM

Thursday, March 31, 2011

Mpaka Morogoro unaweza kugonga kikombe.. we acha tu



Fatma Said Sengo ( 41) mkazi wa Kata ya Kichangani, Manispaa ya Morogoro, ( mwenye ushungi mwekundu ) ametangaza kutibu magonjwa sugu katika mfululizo wa matukio ya watu kuoteshwa kutoa tiba nchini Tanzania. Hapa anawaonesha viongozi waliomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichangani, Manispaa ya Morogoro kupata maelezo ya kina kuhusu tiba yake hiyo ( anaye mfuatia ) ni mwandishi wa habari aliyetembelea eneo hilo leo Machi 31, akiwa na viongozi hao wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Said Mwambungu . Na picha nyingine Mkuu wa wilaya akitoa msimamo wa serikali wa kumtaka mtu huyo ajisajili na dawa yake ipimwe ionekane uzuri na ubaya wake.

SOURCE: John Nditi WA HABARILEO

Kutoka kwa Lukwangule:

Tayari kuna kikombe cha Babu kule Loliondo, kuna kikombe cha dada kule Tabora, kulikuwa na kikombe kule Mbeya na katika hili inaonekana pembetatu imetulia na huenda ikazaliwa Diamond, kitu kinachochimbwa chini kabisa ardhini.

2 comments:

Anonymous said...

Excellent article. Keep writing such kind of info on your site.

Im really impressed by your blog.
Hi there, You have performed an excellent job. I will definitely digg it and personally recommend to my friends.
I'm sure they'll be benefited from this website.


Look at my web page - calories walking

Anonymous said...

Yes! Finally something about Payday.

Feel free to surf to my blog post; Laureen Vanakin

TANGAZA NASI LEO

xx