Haya ndiyo yaliyotokea leo kuanzia saa 9:30 kwenye soko la SIDO, Mwanjelwa jijini Mbeya.

Matukio tofauti ya ajali ya kuungua soko la Mwanjelwa Mbeya ikiwa ni soko kubwa la
tatu kuteketea kwa moto Mkoani Mbeya, la kwanza lilikuwa soko la Mwanjelwa mwaka
2006, likafuatiwa na soko la uhindi mwishoni mwa mwaka jana na hatimaye soko la Sido
ambalo lilikuwa likitumiwa na wafanyabiashara wa lililokuwa soko la Mwanjelwa. haya jionee she she

PICHA ZOTE NA DANIEL MBEGA

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO