Django Unchained: Kitu kikali chenye ladha adimu

  KUNA filamu mpya ambayo itaonwa Desemba mwaka huu kutoka kwa mtaalamu wa visa na mikasa Quentin Tarantino.   Mtaalamu huyu ndiye ali...


 

KUNA filamu mpya ambayo itaonwa Desemba mwaka huu kutoka kwa mtaalamu wa visa na mikasa Quentin Tarantino.  Mtaalamu huyu ndiye aliyeiandika na ndiye aliyeiongoza na kinara wa filamu ni  Jamie Foxx, Leonardo DiCaprio,na Christoph Waltz.
Kitu na boksi hiki kinatarajiwa kuwa kitaani Desemba 25, 2012.
Ni kazi iliyoanzwa mjini California Novemba mwaka jana 2011,ikahamishiwa Wyoming Februari mwaka huu na kisha Louisiana Machi. Kama hujanielewa uhamisho huo unatokana na kazi ya upigaji picha na sasa inatangazwa tayari kwa Desemba 25 huku kazi ndondogo zikiwa zimeshakamilika.
Picha hii awali ilitarajiwa kutoa mwezi wa Sita lakini haikuwa hivyo na sasa wenyewe wamesema ni mwezi wa Desemba.
Django Unchained  ni simulizi la wakati wa utumwa ambapo mtumwa mmoja anaheuka na kuua mpaka ampate mke wake. Setting yetu ipo Deep South ambapo tunaanza kumfuatilia Django (Foxx), mtumwa aliyenunuliwa na kuachwa huru ambaye anazunguka Marekani kote akiwa na Dk King Schultz (Waltz), Mjerumani mwenye kazi ya kutafuta  vilivyopotea au kutoroka na kurejesha kwa wenyewe, kumsaka mkewe Broomhilda (Kerry Washington).

Mwanamke huyu alinaswa na tajiri mmoja mwenye mashamba Calvin Candie (DiCaprio) ambaye alikuwa na kundi la watumwa wake ambao ni balaa kubwa.

Ukiangalia trela lake katika mtandao na kama wewe ni mtazame sinema kwa sana, utagundua kwamba setting na kichwa cha habari kimeshabihi sana masimulizi ya  miaka ya 1960 huku staa orijino wa Django , Franco Nero akipew anafasi ndogo ya kutokea.

Ploti yake ikoje?

Django (Jamie Foxx) ni mtumw aanayeishi Deep South baada ya kutenganishwa na mke wake Broomhilda (Kerry Washington). Wakati Django alipofikishwa sokoni kuuzwa , Dk. King Schultz (Christoph Waltz), anamnunua na kumpa uhuru wake na kumpa kazi ya kuua kundi la Brittle Brothers, kundi ambalo ni balaa na ambaye alishawahi kuwaona ni Django pekee.

Kama atatekeleza kazi hizo Schultz alimwahidi Django kumto amoja wka moja katika utumwa na kumsaidia kumpata mkewe Broomhilda kutoka kwa tajiri fisadi mwenye roho mbaya, Calvin Candie (Leonardo DiCaprio).
Wazo la utengenezaji wa sinema ya Django Unchained lilianza mwaka 2007 , Wakati Quentin Tarantino, aliposema hayo katika mahojiano na gazeti la The Daily Telegraph.
Alisema anataka kutengeneza sinema kuhusu mambo mbaya ya zamani ya Marekani ambayo yametokea lakini watengeneza filamu wengi wanaona aibu kutengeneza.
Mei 2, 2011, ilithibitishwa kwamba jina la sinema litakuwae Django Unchained na kuwa itakuwa ni kisasi cha mtumwa kwa bwana wake wa zamani.
Tarantino alimaliza kuiandika skripiti yake  Aprili 26, 2011, na kuiwasilisha kwa kazi ya mwisho kwa kampuni ya The Weinstein Company.
Filamu hii imepigwa katika fomati ya 35mm na ilikuwa filamu ya kwanza ya Tarantino kuhaririwa na mtu mwingine zaidi ya Sally Menke, ambaye alikufa mwaka 2010.Uhariri ulifanywa na Fred Raskin.
Juni 6 ilizinduliwa rasmi itaingia uzinduzi kwa ummaDesemba 25, 2012 na kimataifa kw akuanzia LOndon, Uingereza Januari 18, 2013 kazi itakayofanywa na Sony Pictures Releasing International.
Washiriki
    Jamie Foxx kama Django
    Leonardo DiCaprio kama Calvin Candie
    Christoph Waltz kama Dk. King Schultz
    Kerry Washington kama Broomhilda
    Samuel L. Jackson kama Stephen, mtumwa mwaminifu wa Candie
    Laura Cayouette kama Lara Lee Candie-Fitzwilly
    Dennis Christopher kama Leonide Moguy
    Don Johnson kama Spencer 'Big Daddy' Bennett
    M. C. Gainey kama Big John Brittle
    Tom Savini kama Tracker Cheney
    Anthony LaPaglia kama Jano
    James Remar kama Ace Speck
    Walton Goggins kama Billy Crash
    Tom Wopat kama Marshall Gill Tatum
    Misty Upham kama Minnie
    RZA
    Michael Bacall kama Smitty Bacall
    Franco Nero kama Amerigo Vassepi
    Sharon Pierre-Louis kama Little Jody

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Django Unchained: Kitu kikali chenye ladha adimu
Django Unchained: Kitu kikali chenye ladha adimu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjITQPwlip60tHFa2mRPSStdyvRi309jjM824I1eVpXZpv_6UFb7rH_Wq0m-rI_3yo2aQFTwthp96eF0JlAvU5l1I8ptsgVmPZki7ottHM5YgDO2js5YTTekmoEhaCSH8rYldRTX5aRWh5o/s320/django-unchained-2_510.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjITQPwlip60tHFa2mRPSStdyvRi309jjM824I1eVpXZpv_6UFb7rH_Wq0m-rI_3yo2aQFTwthp96eF0JlAvU5l1I8ptsgVmPZki7ottHM5YgDO2js5YTTekmoEhaCSH8rYldRTX5aRWh5o/s72-c/django-unchained-2_510.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2012/06/django-unchained-kitu-kikali-chenye.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2012/06/django-unchained-kitu-kikali-chenye.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy