DIANA:Filamu ya Single Mtambalike yenye mafunzo

NI nadra sana kupata burudani  na mafunzo kwa wakati mmoja kama ilivyotokea katika filamu ya Diana iliytolewa na nyota  wa filamu katika...



NI nadra sana kupata burudani  na mafunzo kwa wakati mmoja kama ilivyotokea katika filamu ya Diana iliytolewa na nyota  wa filamu katika tasnia ya filamu Single Mtambalike  al maarufu kama ‘Richie’.
Filamu hii yenye kumleta tena usoni mdada Halima Yahaya ‘Davina’ ambaye alikuwa amepotea kwa muda kutokana na kuwa katika masuala ya lazima ya binadamu, uzazi, inazungumza sana kuhusu maisha ya ndoa urukaji na hasara ya kuruka.
Mwenyewe Richie anasema kwamba filamu hiyo kwake ni ya bashashi yenye kulenga kuleta fikira mpya kuhusu ndoa na mikikimiki yake, huku akiamini kwamba wandoa watakaotaka kuponya ndoa zao wana kila sababu ya kunua Diana.
Amesema filamu ya 'Diana' ni fundisho kwa wanaume wote wanopenda kuvamia wanawake wa nje wakati wana wake zao, tena wanaowapenda sana.Richie ambaye amesema ameangalia matatizo yanayowakuta watu wanaofanya hivyo amesema ameitengeneza kwa namna ambayo sit u inatoa fundisho bali inatoa na burudani inayotakiwa kwa wapenzi wa sinema.

Kwa maneno yake mwenyewe Richie kutembea nje ya ndoa  huleta mitihani katika Ndoa na kuharibu mahusiano katika familia na akatoa masikhara ya uchawi kama moja ya maeneo yanawakuta watu wengi, ambao huwa na wanewake zaidi ya mke wake aliye nyumbani.
Dhana ya uchawi imetazamwa kwa namna mbaya zaidi kwa kuwa inaonesha kwamba mke mwenza anataka kummaliza mwenye nyumba ili yeye abaki kuwa kijogoo kwa namna yake.
“Filamu ya 'Diana' ni kipimo cha ndoa kwani inaonyesha jinsi matatizo ambayo yanaweza kutokea  kwa kuwa na Nyumba ndogo na kusalitiwa”  anasema Richie ambaye nmke wake katika sinema alirogwa na mchuchu wake na kama zali alijikuta pia akipoteza kazi kutokana na kuendekeza.
Anasema simulizi lake hilo linalowapeleka katika raha, mahangaiko na majuto na unamalizia katika hali ambayo kiu yako inaendelea kuwapo ukiuliza kama njingelikuwa mimi nini hasa kingelitokea.

Richie anaamini ujio wa filamu hiyo unatoa nafasi ya tafakari kwa watu wengi hasa ikizingatiwa kwamba ndoa nyingi sasa zina tofauti kubwa kutokana na kutokuwa na muda wa kupima mambo yao.
Kimsingi 'Diana’ ambayo inaonekana miongoni mwa sinema za Richie zilizobora imetoka kidogo katika mistari ya kawaida ya sinema za Richie kwani Diana ikiwa ni kipimo cha ndoa bora inatoka tofauti na swahiba, mahabuba na sinema nyingine.
Maneno ya Mtambalike kuhusu kampuni yake ya filamu ya Bulls tutayapata katika raundi ijayo kama Mungu akitupa nafasi lakini kw aleo inatosha kusema kwamba sinema kadhaa zilizotengenezwa na Richie bado zinaonesha kwamba anajua nini nachofanya hasa kw akucheza na hisia za wapenzi wa sinema, watu wazima katika sebule zao.
Nasema hivyo kwa kuwa sinema mama Tamaa Yangu,Diana, Gentlemen, Jesica, Mtaani Kwetu,Kimya,Basilisa,Unexpected Truth,Solemba,Lerato,Mahabuba ni sehemu tu ya sinema ambazo sebule ya watu makini unazikuta kwa kuwa ushiriki wa watu na nnamna inavyokwenda ni raha tupu.
Richie ambaye amecheza sinema hizi na kuziongoza katika mazungumzo yetu alisemamaisha ingawa ni mtihani mkubwa ipo haja ya kuangalia namna watu wanavyoshughulikia mitihani  ya maisha kwani ni heri tu kujua maisha lakini si kuyafanyia masikhara kama alivyofanya katika sinema hiyo.
Inakuaje unapokuwa na  nyumba yako ndogo halafu ikaendesha usaliti na kukuacha wewe ukihemea juu kwa juu, sina uhakika kama Richie ameshawahi kukumbana na kadhia hiyo ingawa anasema kwamba anayaona kwa watu na anadhani ni vyema kuangalia jamii katika hali hiyo.
Unapoteza mwelekeo kwa sababu ya kimada, Richie lazima awe na masikhara katika hili, anakuwa na masikhara kwa kuwa anamtazama mwenye ndoa katika jicho la kawaida la watu wa dini wanafalsafa wa maisha hawatazami hayo kwani inaonekana kuwa bahati mbaya lakini kwa Richie si bahati mbaya ni makusudi yenye dhamira iliyopotofu.
Katika mazungumzo Richie alisema katika filamu hiyo, imeshirikisha wasanii mbalimbali wakiwemo wakongwe na chipukizi, ili kuleta ladha tofauti.
Haya ndiyo mambo ya Richie ambaye akichez akupenda unaweza kupagawa, lakini akipagawa unaweza kukimbia, mudi tofauti kwa kazi tofauti na ukiangalia filamu za sasa pasi shaka unaona kwamba libeneke linaaanza kupata pumzi inayostahiki.
mwisho

filamu mpya mtaani
Tamaa Yangu
Ni kazi ya Deogratus Shija kama Dairekta  ambapo ndani ya filamu anayatafakari Maisha kama safari ndefu ambayo binadamu hujua mwanzo na sio mwisho . mwisho anajua Mungu kama mwanzo ya awali anavyoijua kutokana na ukweli kuwa hata kama usiku usingekuwa mrefu lakini asubuhi lazima itaonekana tu, maisha ni tofauti sana unaw2eza kufikiria unataka iweje mwishoni lakini huna uhakika na kama hukuwa na akili yatakukuta yaliyomkuta Rado. Ndio kusema kama Rado angeyafahamu hayo yote mauti yasingemfika
Ukiangalia filamu hii unauafiki ule msemo wa Kibiblia kwamba  Msiyasumbukie mambo ya kesho maana kesha itajisumbua yenyewe.
Ngoma hii iliyochezwa na Single Mtambalike, Simon Mwapangata, Regina Mroni, Deogratus Shija imesimuliwa na Simon J. Mwapangata, ikazalishwa na Simoni J. Mwapangata na kuongozwa na Deogratus Hija ikiwa ni kazi rasmi ya Epic Entertainment.

 "THE HOUSE MAID"

WAPENZI wa muigizaji ambaye anapenda kujiita dada mdogo ,  Jeniffer Kyaka (Odama), wanasubiri kwa namna inayofaa kuona kw autamu unaokusudiwa wa filmu mpya yenye kufundisha, kuadabisha na kuelimisha ya the house Maid.
wote mnajua wasaidizi hawa inakuaje kuaje katika majuumba yenu hasa wanapozidi kupendeza na nyie mkakosa namna ya kufanya. 
kWa mujibu wa mtandao wa RUMAAFRICA (www.rumaafrica.blogspot.com) Odama anafanyia vitu vidogo sinema hiyo na kwamba ikiwa gado itatumbukizwa katika mpangilio wa sinema zake na nyie kuendelea kujidia huku akiwaandalia kitu kingine. 
Anasema kwamba filamu hiyo inaandaliwa na kampuni yake ya J-FILM 4 LIFE na itatoka kwa kiwango cha juu.

Crazy tenant

Ni moja ya filamu ambazo zinaweza kukufanya uwe kichaa na halafu ukafikiria nini hasa kimepangwa katika filamu hii ambapo washiriki wake ni majina makubwa na simulizia lenyewe bonge la komedi.
jamani pigeni kelele ohoo nilidhani muziki kumbe ni fujo za kwenye sinema hii.Promo lake lina siku 44 katika You Tube nasubiri tu asijui imetoka?
Wewe na babangu ndio vipi... ha ha nadhani hupigi mswaki domo lako heee! hayo mambo, wanakula na kutoka ghorofani unakamua nguo ha ha

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: DIANA:Filamu ya Single Mtambalike yenye mafunzo
DIANA:Filamu ya Single Mtambalike yenye mafunzo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHP9sfUhQNEyl8TlsCcOxYDk6oXJyoVG1gct5BrHt9h1eFCrFOHQp6dVzfl5NBZMJgjAMUmbtVJef5IxCqFgfH7SPxl_rEFbOCxYbNDWR9-ezkU4k64lBkWNBurtEoO_-g256bXzWw56S8/s320/Single-Mtambalike.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHP9sfUhQNEyl8TlsCcOxYDk6oXJyoVG1gct5BrHt9h1eFCrFOHQp6dVzfl5NBZMJgjAMUmbtVJef5IxCqFgfH7SPxl_rEFbOCxYbNDWR9-ezkU4k64lBkWNBurtEoO_-g256bXzWw56S8/s72-c/Single-Mtambalike.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2012/07/dianafilamu-ya-single-mtambalike-yenye.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2012/07/dianafilamu-ya-single-mtambalike-yenye.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy