Kaka mkubwa amaliza kazi aliyotumwa Manyara..eti nini?maadili ya habari! ha ha ha

Kaka mkubwa akitabasamu washiriki wakitoa hamasa kwenye karatasi Wakati wizara ya habari inafanya vitu vyake Dodoma mimi kaka mkub...


Kaka mkubwa akitabasamu washiriki wakitoa hamasa kwenye karatasi

Wakati wizara ya habari inafanya vitu vyake Dodoma mimi kaka mkubwa nilikuwa namie namalizia ngwe yangu ya kuzungumza na wanahabari wa manyara katika mafunzo yaliyowezeshwa na baraza la habari nchini (MCT).
Niseme  kuwa nimeyapata mengi kwa kuwa darasa lilikuwa la kubadilishana na niliyoyapata ama hakika yanatia simanzi na kuleta kiwi kubwa katika akili.
Katika mazungumzo wakati wa kujadili Azimio la Dar es salaam kuhusu Uhuru wa uhariri na uwajibikaji wa vyombo vya habari (DEFIR) suala la maslahi na upotofu wa madili kwa wahariri mpaka waandishi wa habari na kuingiliwa na wenye vyombo vya habari vilichukua muda mwingi.
 Wahariri walituhumiwa kusababisha uvunjifu wa maadili na kanuni za vyombo vya habari kwa kutotetea haki za waandishi wa habari, wao wenyewe kuomba rushwa anuai kutoka kwa waandishi na wanasiasa kuwatumia vibaya waandishi wa habari.
Ni a kubwa  ya semina darasa hili pamoja na kuibua uozo wa wapiganaji na makamanda wao ilikuwa kukumbushana na kuleta uelewa wa kiwango cha juu miongoni mwa wanahabari kuhusu maadili ya uandishi wa habari.
Pamoja na hayo semina darasa hili lililenga kujenga uwezo wa kuchambua maadili wakati wa utendaji kazi ili kufikia uamuzi sahihi wenye kulenga maslahi ya umma kwa kufikia maamuzi sahihi ya utendaji.
Aidha Azimio la Dar es salaam kuhusu uhuru na uwajibikaji wa vyombo vya habari (DEFIR) lilichambuliwa kwa kuona misingi yake, dhana na umuhimu wa kuwepo kwake kuhakikisha kwamba maadili yanazingatiwa licha ya changamoto zake na mitanziko iliyopo.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza mwezeshaji
Vijana kwa wazee wadada kwa wakaka walichambua vipengele ndani ya azimio la Dar es salaam  ambapo kwenye kifungu cha nane na tisa waandishi wa habari wakiwa na majukumu makubwa ya kuhabarisha wengine, wanatakiwa kutekeleza wajibu wao na majukumu yao ya kijamii kwa uadilifu mkubwa, umakini na umahiri unaolingana na viwango vya kitaalamu na maadili na kuelewa wakati wote kuwa wajibu na uwajibikaji wao ni kwa umma na kuwa wao ni watendaji wa umma wanaotoa huduma katika Nyanja nyeti ya utumishi kwa umma kwa minajili ya kujenga jamii ya kidemokrasia isiyo na kandamizi isiyo na ubaguzi kwa misingi ya rangi,ukabila, jinsia na ulemavu na isiyo na uvunjaji wa haki za binadamu.
Misingi hiyo inamtaka mwandishi wa habari kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia ukweli, uadilifu, umahiri na weledi pamoja na umakini  na uwajibikaji wa hali ya juu kwa umma, ili kujenga imani na uaminifu machoni kwa umma.
Ni wajibu pia wa msingi kwa wanahabari kuepuka tabia za uchochezi wa vurugu, chuki na kukuza heshima ya binadamu.
Hiyo inatokana na ukweli kuwa Tasnia ya habari ipo kuhudumia umma. Na ndio maana pamoja na wafanyabiashara kuanzisha  makampuni ya habari kupata faida, vyombo vyao vinatakiwa kuhudumia maslahi ya  umma kwani tasnia ya habari ni mali ya umma.
NILISEMA: Ili kutoa huduma hii kwa ufanisi wadau katika chumba cha habari kuanzia waandishi ,wahariri na wakuu wa vyombo vya habari wanapaswa kujua maana na umuhimu wa maadili  katika fani yao ili kudumisha na kuendeleza ubora wa kazi ya kupasha habari na kujenga imani kwa watu wanaowasoma au kuwasikiliza na hata kuwaona.
Kinachopaswa kudumishwa hapa ni maadili na kanuni za kazi yenyewe ambapo kama yatafuatwa ni dhahiri kutaepusha msuguano na kuleta uwiano sawa wa upashanaji habari kwa manufaa ya umma na taifa bila kujali chombo kinachotumika ni cha mfanyabiashara, dola au cha umma.
>>Kama ni hivyo maadili nini?
Maadili ni mambo ambayo yameainishwa wazi kufanywa na yasiyotakiwa kufanywa kwa mujibu wa heshima ya taaluma ya uandishi wa habari.
Maadili kwa misingi mingine unaweza kusema  ni utekelezaji wa matakwa ya taaluma ili kuweka bayana ukweli, usahihi, haki na uhuru  bila kuonea upande wowote kwa kuzingatia miiko ya taaluma na bila kuumiza maslahi ya jamii.
washiriki wakikiangalia kazi za kuainisha baada ya kupigwa na dozi ya maadili
Haya yanaweza kuangaliwa  pamoja na mambo mengine kama kumi na nne hivi LAKINI kubwa ni uadilifu
1—Uadilifu:
 a) Hapa unakutana na haja ya kujua sheria mama yaani katiba, kuiheshimu na kukubaliana na sheria za nchi huku mwandishi akionesha mwenendo mzuri katika maish ayake binafsi.
 b) Upendeleo usitawale au kuhatarisha uadilifu wa kazi, uhuru na uwezo wake.
  c) Kujiepusha na hali ya kuonekana kwamba ametumiwa na watu wenye agenda za siri, rushwa au ajenda binafsi isiyokuwa na mashiko kwa umma.
   d) Ni lazima kujitambulisha katika hali ya kuaminika anaweza kubadilika maslahi ya umma yanapotetereka.
2- Wizi wa maandishi/ mawazo
Mwandishi ni vyema akaeleza chanzo cha habari.
3- Ukweli na uhakika
Kwa kiuzingatia maagizo ya maadili ni lazima afanye kw ausahihi na ukweli na kupambanua maoni na taarifa
4-Usawa na uaminifu
Pamoja na kutakiwa kuw amzalendo mwandishi haruhusi kupendelea  upande au kuzuia habari isitoke labda kwa maslahi ya taifa. Na asimfiche mtu mwenye ushawishi mkubwa kwa jamii katika utrekelezaji wa kazi yake.
5-Faragha
Waandishi watambue mipaka ya faragha za watu katika maisha yao ili mradi hawaendi kinyume na maadili ya kazi zao.
6-ushawishi na mvuto wa watu binafsi
 Usikubali kuvutwa na ushawishi au mvuto wa mtu au familia katika utendaji wa kazi wasikubali kushawishika kwa huruma zawadi au au manufaa ahadi
7-Uhuru wa waandishi wa habari
Unatakiwa kuelewa na kutetea maslahi ya umma kwa kutetea uhuru a vyombo vya habari
Ukiangalia vipengele hivyo kiundani unatambua kwamba  ipo haja kwa mwandishi wa habari kujua sheria mama yaani katiba,
TUKIRUDIA TENA:Ndio kusema mwandishi wa habari ili atekeleze kazi yake vyema ni lazima awe mwadilifu,hafanyi wizi wa maandiko,anatafuta ukweli na uhakika, anaamini katika usawa na uaminifu anakuw a mzalendo (inapobidi) lakini si kwa kushurutishwa anaheshimu faragha, kuelewa sheria ya watoto kupunguza madhara na wasikubali kuvutwa na ushawishi wa mtu au familia.
>>Madhara ya kupinda maadili
Adhabu ya kutofuata kanuni na kuheshimu maadili hupatikana papo hapo mwandishi anapovunja. Adhabu hiyo ni kusongwa na moyo na kukosekana kwa amani kwamba amefanya makusudi  na pia kuivunjia heshima tasnia ya habari na pia kuiletea kashifa na madeni kampuni kwani ikishtakiwa inaweza kulipa na pia  kuonekana chombo kuwa cha hovyo na kinachokwenda kinyume na umuhimu wa tasnia ya habari.
Kwa waandishi upo uwezekano wa kushtakiwa na katika hili waandishi wapo waliofikishwa mahakamani kwa makosa ya maadili na wapo wanaosubiri maafa kwani shauri lao linaangaliwa.
Pia mashauri yaliyopo barazani, kufa kwa baadhi ya magazeti kutokana na watu kuyashtaki na mengine kwa kukosa wasomaji kutokana na uandishi mbovu na wenye chuku.
NDIO KUSEMA
Mwandishi wa habari ambaye amefunzwa kitaalamu juu ya namna ya kukusanya habari na kuziandaa kwa ajili ya vyombo mbalimbali huku akiwajibika kwa umma.Anatakiwa:
a)    Kuleta usawa : hii kuelezea pande mbili zinazohusika na habari
b)    Kutofanya upendeleo yaani kuelezea upande mmoja wa habari
c)    Kuwa mwaminifu kwa kupunguza madhara bila kudhuru wengine
d)    Kutoa haki kwa kuhakikisha kila upande (unaolalamikiwa na ule unaolalamika) nafasi au huduma sawa ya kusema na kujitetea
e)    Kuhakikisha kuwa habari ina manufaa kwa umma, inahusu ustawi kwa ujumla wa maisha ya watu ni kusema ni public interest.
Juu ya yote waandishi wa habari lazima daima kukataa madai yasiyokuwa na mashiko kwa umma ambayo hutengeneza mitazamo finyu na kusababisha kufikiri kimakundi na kujifunga kimawazo. JE TUNAFANYA HAYA/ AU TUNANG’ANG’ANIA kuvunja maadili kwa ahabari za makundi au watu binafsi au kujinufaisha wenyewe?
mwisho

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Kaka mkubwa amaliza kazi aliyotumwa Manyara..eti nini?maadili ya habari! ha ha ha
Kaka mkubwa amaliza kazi aliyotumwa Manyara..eti nini?maadili ya habari! ha ha ha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi64mgkf9Jjnj8Roal1s6G4CzJX_RSt08V7LD-4bwgoeO3UDvmCycBfVXqT14b4SdaoSskl_cZ4VTNf2JbVKPNU26YDZKK5z8LVKOf9IXCHUyyxOYJ-2WUkEcgqHt4YmFMwRpEYRJDJLDCV/s320/kaka+mkubwa+akitabasamu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi64mgkf9Jjnj8Roal1s6G4CzJX_RSt08V7LD-4bwgoeO3UDvmCycBfVXqT14b4SdaoSskl_cZ4VTNf2JbVKPNU26YDZKK5z8LVKOf9IXCHUyyxOYJ-2WUkEcgqHt4YmFMwRpEYRJDJLDCV/s72-c/kaka+mkubwa+akitabasamu.JPG
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2012/07/kaka-mkubwa-amaliza-kazi-aliyotumwa.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2012/07/kaka-mkubwa-amaliza-kazi-aliyotumwa.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy