Beyonce akilapozi na wanafunzi wakati alipotembelea Old Havana, Cuba, Alhamisi jana. Beyonce na mumewe mfokaji Jay-Z, wako Cyuba katika ki...
Beyonce akilapozi na wanafunzi wakati alipotembelea Old Havana, Cuba, Alhamisi jana. Beyonce na mumewe mfokaji Jay-Z, wako Cyuba katika kila kinachoonekana maadhimisho ya miaka 5 ya ndoa yao.
WANAMUZIKI maarufu na wenye kladha ya aina yake katika dunia ya muziki beyonce na mumewe Jay Z wameacha gumzo kubwa wakati walipozuru Havana, Cuba katika kuadhimisha miaka mitano ya ndoa yao.
Maadhimisho hayo waliyafanya mjini havana jana aAlhamisi.
Wakali hao wa R&B maarufu katika kiinglish kama power couple walisukwasukwa na watu kibao waliowatakia heri wakatik walipofika katika mgahawa wa La Guarida Jumatano usiku kiasi ya kwamba Polisi walilazimika kuingilia kati kuweka mambo sawa.
Wafanyakazi wa La Guarida ambao walifanikiwa kuwapiga picha jamaa hao waliwapatia waandishi wa habari wa Associated Press picha zinazoonesha wawili hao wakila chakula cha jioni ambacho ni maarufu nchini Cuba ambapo ni mchanganyiko wa menyu ya samaki,kuku maharagwe na 'mchele' huku wakiwa na mama zao.
Mgahawa huo ambao si wa kiserikali ni maarufu hasa kutokana na kutumika katika upigaji picha wa filamu ya "Strawberry and Chocolate," na ipo katika ukanda wa utalii wa Havana.
Mhudumu wa mgahawa Silvia Fernandez amesema kwamba Beyonce alitembelea mgahawa huo na kuangalia picha za watuj marufuj wengine ambao walishawahi kufika katika mgahawa huo. Miongoni mwa watu hao maarufu ni: Jack Nicholson, Jodie Foster, Danny Glover, Will Smith, James Belushi na wengine wengi.
Their bodyguards' presence outside set the gritty, bustling neighborhood of Center Havana abuzz, and a crowd gathered downstairs shouting Beyonce's name until she went to a balcony and waved.
Police arrived and made sure she was able to exit without incident.
"She was beautiful, without a drop of makeup, very natural," Fernandez said. "What happened with the people was incredible."
On Thursday the couple toured colonial Old Havana wearing dark glasses and surrounded by bodyguards and excited fans. Beyonce posed for pictures with local schoolchildren while Jay-Z puffed on a Cuban cigar, and then they popped into another restaurant that boasts a rooftop terrace with a sweeping view of the harbor.
Beyonce and Jay-Z declined to speak to reporters, and it was not clear why they traveled to Cuba. State-run website CubaSi called it a tourist trip.
Washington's 51-year embargo makes it illegal for U.S. citizens to visit Cuba for mere tourism, although tens of thousands of Americans travel here each year on academic, religious, journalistic or cultural exchange licenses. In the past, artists who were challenged by the government have said they visited for cultural purposes.
The artists' publicists did not immediately respond to emailed requests for comment, and the U.S. Treasury Department's Office of Foreign Assets Control, which is responsible for licensing approved travel to Cuba, said it does not comment on individual cases.
Beyonce, the multiple Grammy winner who performed at this year's Super Bowl halftime show and President Obama's inauguration, and Jay-Z, the rapper and entertainment mogul who recently went into the sports-agent business, were married April 4, 2008, in New York.

COMMENTS