Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote yapungua

KUMB: PPR/13 - 6/1 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA MAFUTA AINA YA PETROLI   KUANZIA JUMATANO, TAREHE 5 JUNI 2013 ...

KUMB: PPR/13 - 6/1
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA MAFUTA AINA YA PETROLI  KUANZIA
JUMATANO, TAREHE 5 JUNI 2013

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza  bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Juni 2013. Pamoja na kutambua bei kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia yafuatayo.

(a)           Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote zimepungua  ikilinganishwa na toleo lililopita la tarehe 01 Mei 2013. Katika toleo hili, bei za rejareja kwa  mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa  zimepungua kama ifuatavyo: Sh 16/lita sawa na asilimia 0.76; Sh 42/lita sawa na asilimia 2.16 na Sh 72/lita sawa na asilimia 3.50 sawia. Kwa kulinganisha matoleo  haya  mawili, bei za jumla zimebadilika kama ifuatavyo: Bei za Petroli,  Dizeli na Mafuta ya Taa zimepungua kwa Sh 15.78/lita sawa na asilimia 0.79; Sh 41.71/lita sawa na asilimia 2.24  na Sh 72.16/lita sawa na asilimia 3.70 sawia.  Mabadiliko haya ya bei yametokana na mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la dunia.   

(b)          Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2008, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea kupangwa na soko. EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za bidhaa za mafuta. Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau kufanya maamuzi stahiki kuhusu manunuzi ya bidhaa za mafuta.

(c)           Kampuni za mafuta zipo huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani ilimradi bei hizo ziko chini ya bei kikomo (price cap) kama ilivyokokotolewa na fomula mpya iliyopitishwa na EWURA na ambayo ilichapwa kwenye Gazeti la Serikali Na. 454 la tarehe 23 Desemba 2011.

(d)          Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana bayana na yakionyesha bei ya mafuta, punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta kutoka kwenye vituo vinavyouza mafuta kwa bei ndogo zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja na adhabu itatolewa kwa kituo husika.

(e)           Wanunuzi wanashauriwa kuhakikisha kuwa wanapata stakabadhi ya malipo inayoonesha jina la kituo, tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hiyo ya malipo itatumika kama kidhibiti cha mnunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya ama kuuziwa mafuta kwa bei ya juu kuliko bei kikomo; ama endapo utakuwa umeuziwa mafuta yenye kiwango cha ubora kisichofaa.


A: BEI ZA REJAREJA


Bei Kikomo
Mji
Petroli
Dizeli
Mafuta ya Taa

(Tsh/Lt)
(Tsh/Lt)
(Tsh/Lt)
Dar es Salaam
2,057
1,892
1,951
Arusha
2,141
1,976
2,035
Arumeru (Usa West)
2,141
1,976
2,035
Karatu
2,159
1,994
2,053
Monduli
2,147
1,982
2,041
Ngorongoro (Loliondo)
2,198
2,033
2,092
Kibaha
2,062
1,897
1,956
Bagamoyo
2,068
1,903
1,962
Kisarawe
2,064
1,899
1,958
Mkuranga
2,067
1,902
1,961
Rufiji
2,085
1,920
1,979
Dodoma
2,116
1,951
2,010
Bahi
2,123
1,958
2,017
Chemba
2,142
1,977
2,036
Kondoa
2,149
1,984
2,043
Kongwa
2,113
1,948
2,007
Mpwapwa
2,117
1,952
2,011
Iringa
2,121
1,956
2,015
Kilolo
2,126
1,961
2,020
Mufindi (Mafinga)
2,131
1,966
2,025
Njombe
2,149
1,984
2,043
Ludewa
2,187
2,022
2,081
Makete
2,180
2,015
2,074
Wanging'ombe (Igwachanya)
2,147
1,982
2,041
Bukoba
2,272
2,107
2,166
Biharamulo
2,247
2,082
2,141
Karagwe (Kayanga)
2,289
2,124
2,183
Kyerwa (Ruberwa)
2,294
2,129
2,188
Muleba
2,272
2,107
2,166
Ngara
2,238
2,073
2,132
Misenyi
2,281
2,116
2,175
Geita
2,222
2,057
2,116
Bukombe
2,211
2,046
2,105
Chato
2,243
2,078
2,137
Mbogwe
2,260
2,095
2,154
Nyang'hwale
2,237
2,072
2,131
Kigoma
2,288
2,123
2,182
Uvinza (Lugufu)
2,300
2,135
2,194
Buhigwe
2,277
2,112
2,171
Kakonko
2,245
2,080
2,139
Kasulu
2,274
2,109
2,168
Kibondo
2,252
2,087
2,146
Moshi
2,131
1,966
2,025
Hai (Bomang'ombe)
2,134
1,969
2,028
Mwanga
2,124
1,959
2,018
Rombo (Mkuu)
2,152
1,987
2,046
Same
2,117
1,952
2,011
Siha (Sanya Juu)
2,137
1,972
2,031
Lindi
2,116
1,951
2,010
Kilwa Masoko
2,091
1,926
1,985
Liwale
2,137
1,972
2,031
Nachingwea
2,145
1,980
2,039
Ruangwa
2,143
1,978
2,037
Babati
2,179
2,014
2,073
Hanang (Katesh)
2,190
2,025
2,084
Kiteto (Kibaya)
2,190
2,025
2,084
Mbulu
2,192
2,027
2,086
Simanjiro (Orkasumet)
2,211
2,046
2,105
Musoma
2,235
2,070
2,129
Rorya (Ingirijuu)
2,244
2,079
2,138
Bunda
2,227
2,062
2,121
Butiama
2,232
2,067
2,126
Serengeti (Mugumu)
2,281
2,116
2,175
Tarime
2,246
2,081
2,140
Mbeya
2,164
1,999
2,058
Chunya
2,174
2,009
2,068
Ileje
2,177
2,012
2,071
Kyela
2,180
2,015
2,074
Mbarali (Rujewa)
2,148
1,983
2,042
Mbozi (Vwawa)
2,173
2,008
2,067
Momba (Chitete)
2,182
2,017
2,076
Rungwe (Tukuyu)
2,173
2,008
2,067
Morogoro
2,082
1,917
1,976
Mikumi
2,098
1,933
1,992
Kilombero (Ifakara)
2,120
1,955
2,014
Ulanga (Mahenge)
2,131
1,966
2,025
Kilosa
2,101
1,936
1,995
Mvomero (Wami Sokoine)
2,093
1,928
1,987
Mtwara
2,130
1,965
2,024
Nanyumbu (Mangaka)
2,178
2,013
2,072
Masasi
2,155
1,990
2,049
Newala
2,162
1,996
2,056
Tandahimba
2,155
1,990
2,049
Mwanza
2,207
2,042
2,101
Kwimba
2,243
2,078
2,137
Magu
2,215
2,050
2,109
Misungwi
2,213
2,048
2,107
Sengerema
2,239
2,074
2,133
Ukerewe
2,266
2,101
2,160
Sumbawanga
2,230
2,065
2,124
Kalambo (Matai)
2,222
2,057
2,116
Nkasi (Namanyele)
2,243
2,078
2,137
Katavi (Mpanda)
2,265
2,100
2,159
Mlele (Inyonga)
2,243
2,078
2,137
Songea
2,180
2,015
2,074
Mbinga
2,214
2,049
2,108
Namtumbo
2,210
2,045
2,104
Nyasa (Mbamba Bay)
2,216
2,051
2,110
Tunduru
2,239
2,074
2,133
Shinyanga
2,186
2,021
2,080
Kahama
2,200
2,034
2,094
Kishapu
2,214
2,049
2,108
Simiyu (Bariadi)
2,227
2,062
2,121
Busega (Nyashimo)
2,220
2,055
2,114
Itilima (Lagangabilili)
2,230
2,065
2,124
Maswa
2,219
2,054
2,113
Meatu (Mwanhuzi)
2,226
2,061
2,120
Singida
2,148
1,983
2,042
Iramba
2,160
1,995
2,054
Manyoni
2,132
1,967
2,026
Ikungi
2,143
1,978
2,037
Mkalama (Nduguti)
2,172
2,007
2,066
Tabora
2,211
2,046
2,105
Igunga
2,165
2,000
2,059
Kaliua
2,229
2,064
2,123
Ulyankulu
2,223
2,058
2,117
Nzega
2,176
2,011
2,070
Sikonge
2,223
2,058
2,117
Urambo
2,224
2,059
2,118
Tanga
2,103
1,938
1,997
Handeni
2,083
1,918
1,977
Kilindi
2,117
1,952
2,011
Korogwe
2,096
1,931
1,990
Lushoto
2,106
1,941
2,000
Mkinga (Maramba)
2,118
1,953
2,012
Muheza
2,103
1,938
1,997
Pangani
2,110
1,945
2,004












B: BEI ZA JUMLA


Bei za Jumla - DSM
Petroli (Sh/L)
Dizeli  (Sh/L)
Mafuta ya Taa (Sh/L)
Bei Kikomo
        1,983.30
         1,818.24
        1,877.29







Eng. Mutaekulwa Mutegeki
Kny: MKURUGENZI MKUU
  EWURA






































COMMENTS

Name

Anga,12,Arusha,27,batiki,1,Burudani,447,burundani,2,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,287,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,haba,1,habar,3,Habari,7051,habari dodoma,39,habari. dodoma,32,habaria,1,hadithi,23,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,6,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,739,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,miochezo,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,376,muziki na fasheni,20,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,9,SAYANSI ANGA,12,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,17,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,urembo,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTALII,1,UTAMADUNI,4,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote yapungua
Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote yapungua
file:///C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.gif
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2013/06/bei-za-jumla-na-rejareja-kwa-mafuta-ya.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2013/06/bei-za-jumla-na-rejareja-kwa-mafuta-ya.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy