makalio makubwa yaleta shida venezuela

Mahitaji ya makalio makubwa nchini Venezuela huenda yakasababisha matatizo makubwa kwani wanawake sasa wanalazimika kutumia hata ukarabati...

Mahitaji ya makalio makubwa nchini Venezuela huenda yakasababisha matatizo makubwa kwani wanawake sasa wanalazimika kutumia hata ukarabati ambao umekatazwa kwa sababu za kiafya.

Ukarabati huo ni wa kutumia sindano ambao umepigwa marufuku kutokana na madhara yake.

Kutokana na haja ya kuwa na makalio makubwa hata watu wenye nyadhifa zao wamekuwa wakijihusisha na juhudi za kuyatengeneza ili yapendeze na matokeo yake ni tafarani kwa baadhi yao.

Mwanasheria mmoja wa venezuella Denny amesema kwamba siku moja alipoamka akaona kalio lake moja limetuna  kuliko jingine na hata bila kuelezwa alitambua kuwa ni athari ya vimiminika vya silikoni ambavyo amewekewa.

Kutuna huko kulikuwa sawa na mpira unaotumika kucheza soka chini ya kalio lake.Anasema maumivu yalikuwa makubwa yasiyoelezeka

 Denny mwenye miaka 35 alikuwa amechoma sindano ya silikoni kwenye makalio yake ili kuyapa shepu kubwa zaidi.

Anasema kutokana na athari hizo hakuweza kutembea na mattzio yake ynayogisa uti wa mgongo yakaanzia palepale.

Uchomaji wa sindano za silikoni ni moja ya njia kadhaa zinazotumiwa na wanawake wa Venezuela kwa ajili ya kufanya matengenezo ya shepu ambayo jamii kwa sasa inahusudu kwamba ndiyo babu kubwa.

Matumizi ya sindano yalipigwa  marufuku na serikali mwaka 2012, ikiwa ni miaka sita baada ya Denny kuchomwa.

Denny ambaye alichomwa sindano hizo ili kukuza makalio mwaka 2006 sasa anakabiliwa na athari kubwa za sindano hizo.

Pamoja na ukweli kuwa kuna athari zake, tabia ya kutumia sindano bado inaendelea na ukweli ni kuwa asilimia 30 ya wanawake kuanzia miaka  18 hadi 50 hucghagua kuchomwa sindano hizo.

Kwa mujibu wa chama cha upasuaji wa urembo wa Venezuela na hata wanaume nao hutumia sindano hizo ili kubusti pectoral muscles ingawa idadi yao ni ndogo.

dawa hizoz imetengenezwa kwa kutumia biopolymer silicone na kutokana na ukweli kuwa zinawezwa kuchomwa mahali popote katika mwili zinakuwa ni hatari zaidi kuliko vipandikizi ambako silicone gel inahifadhiwa katika kifuko husika.

Kinachofanya mtindo huu upendwe na watu ni ukweli kuwa ni rahisi kuliko kuwekwa vipandikizi. Sindano hii hugharimu bolivares (fedha za venezueala) 2000 (sawa na paundi 191 au dola 318) na shughuloi nzima haidizi dakika 20.

"kwa kuingizwa katika mfumo wa mwili, silikoni inaweza kjwenda mahali popote pale, haina mpaka. Mwili nao katika mfumo wake wa kujihami dhidi ya vitu visivyotakiwa mwilini unapochagiza huleta matatizo mengi," anasema Daniel Slobodianik,mtaalamu wa upasuaji wa kiurembo.

Walioathirika wanaweza kukabiliana na uc hovu usiokwisha au mzio wenye milipuko ya hapa na pale na kama kimiminika hicho kikahama upande mwingine kinaweza kuleta maumivu makali kwenye vifundo mbalimbali.

Japokama  hakuna takwimu Chama cha wapasuaji nchini hapa kinasema kinaamini wanawake wengi hufa kila mwaka kutokana na matumizi ya sindano hizo.

Hitoilafu hiyo ikitokea mtu analazimika kwenda kwa wataalamu kwa ajili ya kuondoa tishu zilizoathirika.

Nchini humo kuna wataalamu wawili tu walioruhusiwa kufanyakazi hizo na mmojawapo ni dk Slobodianik .

Daktari huyo anasema ana orodha ndefu ya wagonjwa wanaohitaji msaada kutokana na kuathiriwa na sindani hizo.

Amesema orodha hiyo inawafanya wengine wakae kama mnwaka mzima.

Wengi wao wanashindwa kulipa gharama  za marekebisho hayo kwani upasuaji peke yake hugharimu bolivares 60,000 .

sasa endelea kwa kizungu.

Hours before the delicate surgery, Denny explains that she prefers to withhold her full name because some of her family members don't know why she got ill.

They think she has a back problem - which is also what she thought for years, before the bump appeared.

She says she would have not taken the same decision if she had been aware of the risks.
Curvaceous shop mannequins with small waists Mannequins in Venezuela give an idea of the 'perfect' dimensions that many women aspire to

She describes the peer pressure that pushed her to get injected.

"There was a boom. In the office all the women had such nice buttocks. The last straw was when a judge I work with walked in, looking good. Her buttocks looked like two balloons, they were so beautiful," she says.

"I was never obsessed with perfect measurements, but then I let myself be dragged along by the idea that Venezuelan women should look like Barbie dolls."

Venezuelans have won Miss Universe seven times, giving the country a reputation as a factory of beauty queens.
"Self-esteem"

According to Carolina Vazquez Hernandez, a counsellor specialising in women's issues, societal pressure is huge here - even more so than in other countries.
Continue reading the main story   
“Start Quote

    We Venezuelan women don't have a clear identity of our roots. Because of this lack of identity, our self-esteem is very weak, and we are able to subject ourselves to anything that will develop our self-esteem”

Carolina Vazquez Hernandez Counsellor, Aquamater Clinic, Caracas

"We Venezuelan women don't have a clear identity of our roots. Because of this lack of identity, our self-esteem is very weak, and we are able to subject ourselves to anything that will develop our self-esteem," says Ms Vazquez Hernandez.

Astrid de la Rosa agrees. She is one of the leading campaigners of the No to Biopolymers association, a non-profit organisation set up to offer support to victims of silicone injections.

She says she decided to undergo the procedure herself because her partner was about to leave her.

"I thought that a person will love you because of the way you look," she says.

Shortly after, she started feeling sick. Doctors said her immune system had been affected and diagnosed her with leukaemia.

The government ban on biopolymer injections was partly thanks to the work of the No to Biopolymer association.

But Ms de la Rosa says it is not enough.
"Where is the help for us?"

She says she still receives weekly calls from women who get injected, even though it is now illegal.

"It is not a matter or gender or social class. Women and men do it, there are politicians, actors that have done it," she says. "Where is the help for us?"
Doctor in scrubs holds out a phone with a picture of disfigured buttocks on the screen. Dr Slobodianik shows what can happen when buttock injections go wrong

While the government has banned biopolymer injections because of their health risk, insurance companies do not cover any costs for remedial treatment, because they don't recognise the side-effects of the injections as an illness.

Ms de la Rosa says her organisation often collects money to help victims pay for surgery.

Denny managed to finance the surgery with her own savings, but money is not on her mind at the moment.

Lying face down in her bed after the surgery, she knows it will take her three weeks until she has finally recovered, and the scar will remain forever.

She is also aware that the silicone may still affect her in the future.

However, she hopes that her tragic experience can at least serve as a warning for women considering having the injections - and help them learn to accept their bodies for what they are.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,301,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4810,habari. dodoma,23,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: makalio makubwa yaleta shida venezuela
makalio makubwa yaleta shida venezuela
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCE9AfpI0oatO8S1l7Nc9xp4eFFlkp5zJtCJwIbzuoVgGNkWDXjyzEx5iUwecgS-booau1DEi-L6QyuhwFjAD6vz6NHZLmiGJbM77QUzKmFx4rmh5j-WewLUoEbmJesh2JVTkhHliyc5EI/s1600/matako.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCE9AfpI0oatO8S1l7Nc9xp4eFFlkp5zJtCJwIbzuoVgGNkWDXjyzEx5iUwecgS-booau1DEi-L6QyuhwFjAD6vz6NHZLmiGJbM77QUzKmFx4rmh5j-WewLUoEbmJesh2JVTkhHliyc5EI/s72-c/matako.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2014/04/makali-makubwa-yaleta-shida-venezuela.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2014/04/makali-makubwa-yaleta-shida-venezuela.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy