WAZIRI katika Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira jana aliongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Singida katika mazishi ya mwanas...
WAZIRI katika Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira jana aliongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Singida katika mazishi ya mwanasiasa
mkongwe na kiongozi wa dini nchini, Alhaj Mahami Rajab Kundya.
Maziko ya marehemu Alhaj Kundya yalifanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Mrama, tarafa ya Ilongero wilayani Singida.
Akitoa salaam za rambirambi kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete, Wasira alisema kuwa marehemu Alhaj Kundya atakumbukwa kwa namna alivyojitolea enzi
za ujana wake kupigania uhuru wa Tanganyika bila kuogopa cho chote.
Waziri Wasira alieleza kuwa kabla ya uhuru wa Tanganyika, Alhaj Kundya alikuwa Katibu wa TANU jimbo la Kati na alishirikiana kikamilifu na Baba wa
Taifa, Hayati Julius Nyerere na wazee wengine katika kupigania kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.
Alisema kuwa jukumu lililo mbele ya wakazi wa mkoa wa Singida na Watanzania kwa ujumla,ni kumuenzi Alhaj Kundya kwa kutenda mema na kuitumikia nchi
yetu kwa uadilifu mkubwa na kuhakikisha amani na utulivu havitoweki.
Alhaj Kundya aliwahi kuwa mwakilishi wa Umja wa Mataifa (1962), Waziri Mdogo wa Viwanda na Biashara (1965), Mkuu wa mkoa wa Tanga na mbunge wa
bunge la Afrika Mashariki.(1970) na Mbunge wa jimbo la Singida mjini (1975).
Pia aliwahi kuwa mkalimani wa Mahakama Kuu ya Tanzania kabla ya uhuru, Meneja utawala wa shirika la maendeleo ya Taifa (NDC) na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa CCM. na Katibu Mkuu wa BAKWATA.
Marehemu ameacha wajane wawili, Hilda na Rehema, watoto 14, wajukuu 21 navitukuu watatu .
Mazishi ya marehemu Alhaj Kundya yalifanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Mrama, tarafa ya Ilongero wilayani Singida.

COMMENTS