MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha  mvua kubwa inayozidi milimita 50 wiki hii.
Mvua hizo zitanyesha katika mikoa ya Dar es Salaam ,Tanga, Pwani , Morogoro pamoja na visiwa vya unguja na Pemba .
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TMA ,Dk Agness Kijazi  ilisema mvua hizo zilitarajia kunyesha kuanzia  jana mwaka huu hadi  keshokutwa jumamosi Aprili 16  mwaka huu.
Alisema  kiwango cha uhakika wa mvua hizo ni kwa asilimia 70 na hali hiyo imetokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua sambamba na uwepo wa kimbunga cha FANTALA katika bahari ya Hindi .

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO