Majira ya saa 9 alasiri leo magari yalianza kupita  katika eneo ambalo lilikuwa limefurika maji na uongozi wa Chamwino kuzuia magari kupita, eneo la Chalinze.
Kwa mujibu wa TBC magari hayo yalitanda zaidi ya kilomita mbili kila upande na kuleta msukosuko mkubwa.
Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana alifika eneo la tukio na kuwafariji waathirika.
Kuruhusiwa kwa magari hayo kumetokana  na eneo hilo la barabara kuonekana  bado imara.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO