Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ( kushoto) akimkabidhi hundi ya thamani ya Sh milioni mbili Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ,kwa ajili ya kuunga mkono uwezeshaji wa kikundi cha mafundi Seremala cha Vijana wa Mtaa wa Betero, Kata ya Sabasaba , Manispaa ya Morogoro , jana alipokimbelekea kuona shughuli za uzalishaji mali wa vijana  katika Manispaa hiyo.


Makamu wa Rais , Samia Suluhu Hassan , akiangalia fenicha zinazotengenzwa na Kikundi cha mafundi seremala wa mtaa wa Betero, Kata ya SabaSaba , Manispaa ya Morogoro, jana , wakati wa ziara ya kuangalia shughuli za vijana katika uzalishaji mali.( kushoto) ni  Mwenyekiti wa Kikundi hicho, Habib Said na ( kulia kwa Makamu wa Rais ) ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven Kebwe.

Makamu wa Rais , Samia Suluhu Hassan , akiangalia fenicha zinazotengenzwa na Kikundi cha mafundi seremala wa mtaa wa Betero, Kata ya SabaSaba , Manispaa ya Morogoro, jana , wakati wa ziara ya kuangalia shughuli za vijana katika uzalishaji mali.anayemfuatia ni Mwenyekiti wa Kikundi hicho, Habib Said na watatu wake ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven Kebwe.
( Picha na John Nditi).

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO