Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya( NHIF) Rehani Athumani akiwasalimia wanafunzi wa shule ya Sekondari Kilangalala Mkoani Pwani wakati alipoenda kukabidhi tani tatu z asaruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio na kuendesha kampeni ya Toto afya Kadi kwa wanafunzi.

 Wanafunzi wakipokesa  Msaada wa Saruji tani tatu ukikabidhiwa kwa shule hiyo kwa lengo la kusaidia ujenzi wa uzio

   Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma Grace Michael akigawa vipeperushi vyenye ujumbe wa huduma ya Toto Afya Kadi kwa wanafunzi hao.

Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu Albert Mabiki akizungumza na uongozi wa NHIF ulipokuwa ofisini kwake.

Shehena ya saruji iliyotolewa na Mfuko kwa ajili ya shule hiyo.

 Wanafunzi wakisikiliza kwa makini elimu ya huduma za NHIF

 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF  Rehani Athumani akiwahamasisha wanafunzi hao kusoma kwa bidii kwa ajili ya kupata wataalamu wa kesho huku wakizingatia masuala muhimu ya afya zao.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO