Hii imekaaje hasa?Sinauhakika weweutaichukulkiaje lakini zipo tetesi kwamba mke wa zamani tajiri wa magazeti yupo katika penzi zito naRais wa Urusi.
imeelezwa kuwa watu hao wamekuwa kitu kimoja tangu kila mmoja kupata talaka yake miaka ya 2013 na 2014.
Mtu mmoja mwenye kuzijua nyeti hizo amedokeza jarida la Us Weekly kuwa mahusiano ya wawili hao si ya kubahatisha yako siriazi.
Imeelezwa kuwa kiongozi huyo wa Urusi ambaye ana umri wa miaka 63 na aliyekuwa katika ndoa kwa miaka na Lyudmila Putina na kuzaa mabinti wawili Maria, 30, na Yekaterina, 29 aliachana na mkewe huyo mwaka 2014.
Baada ya kuahana na Lyudmila ilisadikiwa kuwa Rais huyo alikuwa akitoka na mcheza sarakasi wa urusi Alina Kabaeva. Na yapo madai kwamba wamezaa pamoja.

Ingawa Deng hajajionesha jinsi alivyomdondokea Putin wachubnguzi wa mambo wanasema kwamba alionekana akipanda boti ya kifahari ya rafiki wa Putin, tajiri wa Chelsea Roman Abramovich huko St. Bart Jumatatu ya Machi 28.
 Abramovich ni rafiki mkubwa wa Putin. (Na kwa mujibu wa gazeti la bilionea huyo wa Chelsea Football Club Januari mwaka huu alimpatia Putin mashuka ya kifaharya dola za Marekani milioni 35)

Murdoch, 85, alitaka talaka kutokakwa Deng mwenye miaka 47 baada ya kusihi naye kwa miaka 14.
Alipewa talaka hiyo Juni 2013.
Alitaka talaka baada ya kusikiwa kwamba mke wake alikuwa akitembea na waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. (Msemaji wa Blair alikanusha madai hayo akizungumza na The Hollywood Reporter Julai 2013.).Mwanamke huyo alikuja kutambulika katika duru za waandishi wa habari baada ya kumchapa vibao mtu mmoja a aliyekuwa ameshiriki katika maandamano ya kum wake,zodoa mumemwak
Bilionea huyo na mwenyekiti wa  ofisa mtendaji wake mkuu wa News Corp: alishawahi kuishi na Patricia Bookawali kwa miaka11  na Anna Torv kwa 32 kwa sasa anaendelea na maisha yake baada ya kumpoata kidosho,supamodo Jerry Hall.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO