Timu ya soka ya Misri ya  Al Ahly imewasili nchini Zambia jana tayari kuwakabili  Zesco United katika kinyang’anyiro cha kuwania kombe la mabingwa (CAF Champions).
Al Ahly waliwasili wauwanja wa ndege wa Simon Mwansa Kapwepwe majira ya saa 02:45 wakiwa katika ndege ya kukodi ya Egypt Air .
Zesco United iko katika kundi A kundi la kifo lenye  wakali Al Ahly, Wydad Casablanca na Asec Mimosa.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO