Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana (aliyesimama) akizungumza na
 Wananchi wa Kijiji cha Ikengwa Kondoa juu ya mgogoro baina yao na pori la
akiba la Mkungunero katikati ya Wiki (Juni 15, 2016).

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana (aliyesimama) akiwaonesha
Wananchi wa Kijiji cha Ikengwa Kondoa Naakala ya tangazo la Serikali
 lililotangaza pori la akiba la Mkungunero wakati wa mkutano wa kujadili
mgogoro baina ya wanachi hao na pori la akiba katikati ya Wiki (Juni 15,
2016).

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Shaban Kissu (aliyesimama) akizungumza na
  Wananchi wa Kijiji cha Ikengwa Kondoa juu ya mgogoro baina yao na pori la
  akiba la Mkungunero wakati wa mkutano ulioitishwa na Mkuu wa Mkoa huo
katikati ya Wiki (Juni 15, 2016).

Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Ikengwa Kondoa wakimsikiliza Mkuu wa
 Mkoa Dodoma (hayupo pichani) wakati akizungumza nao juu ya namna ya
kumaliza mgogoro baina yao na katikati ya Wiki (Juni 15, 2016).

Mzee Mathayo wa kijiji cha Ikengwa akiishukuru serikali ya Rais Magufuli
kwa kuanza kushughulikia mgogoro baina ya wananchi wa kijiji hiko na pori
 la akiba la Mkungunero wakati wa mkutano ulioitishwa na Mkuu wa Mkoa Dodoma
ambapo kamati iliyohusisha wananchi, Pori la akiba Mkungunero na Uongozi wa
 Wilaya Kondoa iliundwa kumaliza mgogoro huo.

Baadhi ya Viongozi wa Wilaya ya Kondoa, pori la akiba Mkungunero na
  Viongozi wa kijiji cha Ikengwa kinachopakana na pori hilo wakiwa kwenye
  mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu wa Mkoa Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana (katikati) akiagana na
  Wananchi wa Kijiji cha Ikengwa Kondoa baada ya kumaliza mkutano wa hadhara
  juu ya mgogoro baina yao na pori la akiba la Mkungunero

Wakina mama wa jamii ya kibarbaigi wa kijiji cha Ikengwa Kondoa
  wakimshukuru Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana baada ya
kufurahishwa na makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano wa hadhara ya
kutafutiwa maeneo mengine ya makazi, kilimo na mifugo kwa lengo la kumaliza
> mgogoro wa wananchi hao na pori la Mkungunero.

Wakina mama wa jamii ya kibarbaigi wa kijiji cha Ikengwa Kondoa
wakimshukuru Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana baada ya
  kufurahishwa na makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano wa hadhara ya
  kutafutiwa maeneo mengine ya makazi, kilimo na mifugo kwa lengo la kumaliza
mgogoro wa wananchi hao na pori la Mkungunero.

  wakimshukuru Mkuu wa Mkoa Dodoma .
Source:Jery Mwakyoma,
Ofisi ya Mkuu wa mkoa
Dodoma

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO