Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi akikagua miundombinu ya choo katika moja ya Shule ya Msingi Kongo Kata ya Joshoni Wilayani Nachingwea katika ziara yake aliyoifanya Kukagua Miradi ya Tasaf pamoja na Utengezaji wa Madawati Mkoani Lindi.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi akikagua utekelezaji wa agizo la madawati Wilayani Nachingwea.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi akikagua utekelezaji wa agizo la madawati Wilayani Nachingwea.

Mratibu wa Tasaf Wilayani Nachingwea James Mbakile Akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Mfuko Huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi ambae anasikiliza kwa Umakini baada ya Kukagua Ujenzi wa Madarasa 2,Vyoo na Madawati 70 Miradi Uliogharimu shilingi Milioni 68.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi akiandika kwenye ubao kwa lengo la kuona kama ubao uliojengwa unaandikika vizuri Wilayani Nachingwea 
Source:Abdulaziz Video,Nachingwea,Lindi

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO