Mtaalam kutoka Idara ya Nishati, Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Joram Kengete (kushoto) akitoa maelezo  jinsi  umeme unavyozalishwa kwa njia  ya maji katika banda la  Wizara ya Nishati na Madini, kwenye maonesho ya kimataifa ya  Sabasaba yanayoendelea katika viwanja  vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO