Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake  Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor (katikati) aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini  India Bw.Jilesh Babla (kushoto) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini  India Bw.Jilesh Babla walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo,[Picha na Ikulu.]


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO