TAARIFA KWA WAANDISHI WOTE WA HABARI
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) baada ya leo tarehe 26/07/2016 kufanya kikao na Msanii Ney wa Mitego Kesho saa 4:00 Asubuhi kwenye Ofisi zetu zilizoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam tutafanya Mkutano wa wazi na Waandisi wa Habari (Open Press Conference) kueleza maamuzi ya kikao husika.
WAANDISHI WOTE WA HABARI MNAKARIBISHWA

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO