Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais Menejimenti  ya Utumishi wa Umma  - Angela Kairuki akipata maelezo ya huduma mbalimbali zinazopatikana kwenye banda la NMB kutoka kwa Meneja wa Banda hilo – Josephine Kulwa. Mh Kairuki alitembelea banda la NMB jana ili kupata maelezo jinsi NMB inavyofanya kazi ambapo pia alipata maelezo juu ya bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo ikiwemo huduma ya NMB Chap Chap, NMB Wakala, Mikopo ya kilimo na wafanyabiashara pamoja na ushiriki wa NMB katika huduma za jamii (Corporate Social Responsibility). Banda la NMB katika viwanja vya saba saba lipo katika mtaa wa Mabalozi

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO