Wajumbe wa Kikao cha Wadau wa Nanenane wakiwa wanamsikiliza Mwenyekiti wa kikao ambaye Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi ( hayupo pichani).
 
Sherehe za wakulima maarufu kama Nanenane kitaifa zitafanyika mkoani Lindi.Rais Magufuli anatarajiwa Kufunga Maonesho ya 3 ya Nanenane Kanda ya Kusini na zitafunguliwa na Makamu wa Rais,Mama Samia Suluhu,Aug 01,2016
Mkoa wa Lindi na mikoa inayofanya Kanda ya Kusini wamekuwa wakiendelea na vikao vya kuhakikisha tija na ufanisi katika maonesho hayo. Habari na picha na  Abdulaziz Video,Lindi

Mhasibu wa Kamati ya Nanenane Kanda ya Kusini,Bw Mkulasi akiwasilisha taarifa ya mapato na matumizi kwa wajumbe wa kikao.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Kikao cha Nanenane na Kamati ya Maandalizi wakati akifunga Kikao cha Wadau Kilichofanyika Banda La Naliendele,Viwanja vya Ngongo

Moja ya eneo la vipando katika eneo la vipando la JKT.

Moja ya barabara inayotengenezwa ili kuwekewa lami ndani ya eneo la uwanja.

Kazi ya utengenezaji wa barabara katika Viwanja vya Maonyesho ya Nanenane – NGONGO ikiwa inaendelea.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO