Waandishi wa habari na wapigapicha za habari wakibeba sanduku lenye mwili wa aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, marehemu Joseph Senga baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo ukitokea nchini India alikokuwa anatibiwa. Mwili wa marehemu utaagwa kesho nyumbani kwake Sinza White Inn jijini na kusafirishwa nyumbani kwao Kwimba mkoani Mwanza kwa maziko.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO