Mkurugenzi Mtendaji wa NMB - Ineke Bussemaker aki
​hutubia ​
 Mkutano mkuu wa pili wa mwaka wa  madaktari wa moyo kutoka nchi za Afrika Mashariki (2nd East African Cardiology Conference).Mkutano huu ulizinduliwa rasmi  na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete mwanzoni mwa wiki jijini Dar es salaam. NMB ilifanya wasilisho kama mdhimini mkuu wa mkutano juu ya huduma zinazopatikana katika benki ya NMB na kuelezea  fursa zilizopo kwa madaktari kupata mikopo ya kuendeleza huduma za hospitali katika maeneo yao husika.
​ (Na Mpigapicha wetu).​

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO