Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro -Said Meck Sadiki (katikati) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB - Ineke Bussemaker (kulia) wakiondoka eneo la tukio baada ya uzinduzi rasmi wa kituo cha Biashara maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara wa mjini Moshi. Kushoto  ni Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja wa Wadogo  wa NMB - Abdulmajjid Nsekela . Hafla hii ya uzinduzi ilifanyikamjini Moshi hivi karibuni

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro - Said Meck Sadick(wa pili kulia)akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB - Ineke Bussemaker (wa pili kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara kwa ajili ya wafanyabiashara wakubwa mjini Moshi. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Moshi - Kippi Warioba na kulia ni Kaimu Afisa Mkuu wa wateja wa wadogo NMB - Abdulmajid Nsekela .Hafla hii ya uzinduzi ilifanyikamjini Moshi hivi karibuni

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO