Mkurugenzi Mtendaji wa NMB - Ineke Bussemaker akimpa mkono mwanafunzi wa kidato cha nne mwenye ulemavu kutoka shule ya sekondari ya Ufundi – Moshi  - Paulina Sarwat baada ya kukabidhi vifaa kwa wanafunzi wenye ulemavu shuleni hapo.Anayeshuhudia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu - Dk Abdallah Possi . NMB Ilitoa msaada wa vifaa mbalimbali vya wanafunzi wenye ulemavu mwishoni mwa wiki vyote vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 10. 

Mkurugenzi Mtendaji wa NMB - Ineke Bussemaker(kushoto) pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu - Dk Abdallah Possi wakimkabidhi mwanafunzi wa shule ya sekondari ya ufundi – Moshi ndugu Senkondo Said ambeye ana ulemavu wa miguu na hivyo kupatiwa miguu bandia pamoja fimbo za kutembelea. NMB Ilitoa msaada wa vifaa mbalimbali vya wanafunzi wenye ulemavu mwishoni mwa wiki vyote vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 10. 

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO