Mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius ametupwa jela miaka 6 kwa kumuua rafiki yake wa kike  Reeva Steenkamp mwaka 2013.
Hukumu hiyo imetolewa baada ya shauri lake la awali la kuua bila kukusudiwa kubadilishwa na kuwa mauaji Desemba mwaka jana wakati waendesha mashtaka walipofanikiwa katika rufaa yao.
Mara tu baada ya hukumu hiyo alichukuliwa na  na kupelekwa jela na kwamba upande wa utetezi wamesema hawatakata rufaa japo wanayo nafasi.
Pistorius, 29, alimpiga risasi Reeva Steenkamp mara nne akiwa chooni Februari 2003.
Alikiri katika utetezi wake kwamba alimuua Steenkamp  kwa bahati mbaya kwa kudhani kwamba amevamiwa
  • August 2012: Competes in London Olympics and Paralympics, where he won a gold medal
  • February 2013: Shoots dead his girlfriend Reeva Steenkamp
  • March 2014: Trial begins
  • September 2014: Judge finds Pistorius guilty of culpable homicide
  • October 2014: Begins five-year sentence
  • October 2015: Transferred to house arrest
  • December 2015: Appeal court changes verdict to murder
  • July 2016: Sentenced to six years in jail for murder

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO