JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@iku...
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu:
255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1
BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR
ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa
viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali, na pia amewapandisha
vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania.
Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;
1.
Mhe.
Augustino Lyatonga Mrema.
·
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya
Parole kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia leo tarehe 16 Julai, 2016.
·
Mhe. Augustino Lyatonga Mrema anachukua nafasi
iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia Nicholaus Munuo ambaye muda wake
umemalizika.
2.
Prof.
William R. Mahalu
·
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya
Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.
3.
Prof.
Mohamed Janabi
·
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
4.
Prof.
Angelo Mtitu Mapunda
·
Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa
Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
5.
Bi.
Sengiro Mulebya
·
Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa
Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
6.
Bw. Oliva
Joseph Mhaiki
·
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa
Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
7.
Mwl.
Winifrida Gaspar Rutaindurwa
·
Ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa
Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
8.
Dkt.
Charles Rukiko Majinge
·
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya
Hospitali ya Taifa Muhimbili. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.
9.
Dkt.
Julius David Mwaiselage
·
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali
ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Kupandishwa Vyeo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli amewapandisha vyeo maafisa 25 wa Jeshi la Polisi kutoka cheo cha Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
1.
Essaka Ndege Mugasa
2.
Adamson Afwilile Mponi
3.
Charles Ndalahwa Julius Kenyela
4.
Richard Malika Revocatus
5.
Geofrey Yesaya Kamwela
6.
Lucas John Mkondya
7.
John Mondoka Gudaba
8.
Matanga Renatus Mbushi
9.
Frasser Rweyemamu Kashai
10.
Ferdinand
Elias Mtui
11.
Germanus
Yotham Muhume
12.
Fulgence
Clemence Ngonyani
13.
Modestus
Gasper Lyimo
14.
Mboje John
Shadrack Kanga
15.
Gabriel
G.A. Njau
16.
Ahmed Zahor
Msangi
17.
Anthony
Jonas Rutashubulugukwa
18.
Dhahir
Athuman Kidavashari
19.
Ndalo
Nicholus Shihango
20.
Shaaban
Mrai Hiki
21.
Simon
Thomas Chillery
22.
Leonard
Lwabuzara Paul
23.
Ahmada
Abdalla Khamis
24.
Aziz Juma
Mohamed
25.
Juma Yussuf
Ally
Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi
wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
1.
Fortunatus Media Musilimu
2.
Goyayi Mabula Goyayi
3.
Gabriel Joseph Mukungu
4.
Ally Omary Ally
5.
Edward Selestine Bukombe
6.
Sifael Anase Mkonyi
7.
Naftari J. Mantamba
8.
Onesmo Manase Lyanga
9.
Paul Tresphory Kasabago
10.
Dadid
Mshahara Hiza
11.
Robert
Mayala
12.
Lazaro
Benedict Mambosasa
13.
Camilius M.
Wambura
14.
Mihayo
Kagoro Msikhela
15.
Ramadhani
Athumani Mungi
16.
Henry
Mwaibambe Sikoki
17.
Renata
Michael Mzinga
18.
Suzan
Salome Kaganda
19.
Neema M.
Mwanga
20.
Mponjoli
Lotson
21.
Benedict
Michael Wakulyamba
22.
Wilbroad
William Mtafungwa
23.
Gemini
Sebastian Mushi
24.
Peter
Charles Kakamba
25.
Ramadhan
Ng'anzi Hassan
26.
Christopher
Cyprian Fuime
27.
Charles
Philip Ulaya
28.
Gilles
Bilabaye Muroto
29.
Mwamini
Marco Lwantale
30.
Allute
Yusufu Makita
31.
Kheriyangu
Mgeni Khamis
32.
Nassor Ali
Mohammed
33.
Salehe
Mohamed Salehe
34. Mohamed Sheikhan Mohamed
Maafisa
hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania wamepandishwa vyeo kuanzia tarehe 15 Julai,
2016.
Gerson
Msigwa
Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es
salaam
16 Julai,
2016
COMMENTS