Pamoja na upasuaji wa vikope  Watoto walipatiwa kingatiba ya ugonjwa wa trakoma aina ya Zithromax na watoa huduma wa afya kwenye moja ya boma lililopo kwenye kijihi cha mtimmoja.Mkoa wa Arusha wilaya zilizoathirika zaidi na ugonjwa huo ni monduli,Ngorongoro na Longido. (Picha zote na Catherine sungura_wizara ya  afya)

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Dkt.Mwele Malecela  akimfariji  bi.Neyo Marias mkazi wa kijiji cha mtimmoja mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa vikope(trakoma).Tanzania zaidi ya wagonjwa mia tatu wamekwishafanyiwa upasuaji huo.Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO