Habari zenu Watanzania wenzangu? Zaidi wiki kadhaa imesikika SAUTI ya Binti SHUJAA aliyeshinda unyonge na kukata tamaa baada ya kupata ajali na kumfanya apooze mwili mzima kuanzia mabegani Wankota Kapunda ni Shujaa wetu, lakini tuna deni kwake deni hilo ni kumwezesha kufikia NDOTO ZAKE kwa kuwa mwandishi mahiri Dunia kote akitumia kiungo chake Ulimi wewe na mimi hatuwezi ni miujiza ya Mungu kwa sasa yupo Zanzibar akishiriki mafunzo ya uandishi wa Script na atarudi Dar kwa ajili kufuatilia Matibabu zaidi hata kazi ya kumuigizia kipato huku akisubiri miujiza zaidi kutoka kwetu kwani gharama za Matibabu nchini Poland m 700 sasa ni wakati wako ndugu yangu rafiki yangu jamaa na jamii mzima kumchangia Shujaa wetu Wankota Kapunda kwa Hali na Mali naomba tuma ulicho nacho kwa namba 0713 452 561 kwa Dada Irene Sanga Asante sana Kila Atoae kwa Mkono wa Kuume Mungu humuongeze Kingi Zaidi. Mungu awabariki sana.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO