Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiwasili katika Ofisi ya British Council Tanzania kwa ajili ya kuzindua Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.Kulia ni mwenyejji wake ambaye ni Kaimu Mkurugenzi British Council Tanzania, Bi. Nesia Mahenge.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwahutubia wageni waalikwa pamoja na wanahabari kabla ya kuzindua Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.


Kaimu Mkurugenzi British Council Tanzania, Bi. Nesia Mahenge akiwahutubia wageni waalikwa pamoja na wanahabari wakati wa Uzinduzi wa Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Msanii wa kike toka Taasisi ya Culture and Development East Africa, Bi. Zuhura Seng'enge akiwapa burudani ya shairi wageni waalikwa pamoja na wanahabari wakati wa Uzinduzi wa Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Wasanii Gwakisa Mwambungu (kushoto) pamoja na Khalila Mbowe wakiwapa burudani ya nyimbo wageni waalikwa pamoja na wanahabari wakati wa Uzinduzi wa Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Masuala ya Sanaa Kenya na Afrika Mashariki toka British Council, Bi. Rocca Gutteridge akiwahutubia wageni waalikwa pamoja na wanahabari wakati wa Uzindua wa Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa, Bi. Leah Kihimbi akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa ajjili ya kutoa hotuba kwa wageni waalikwa kabla ya kufanyika kwa Uzinduzi wa Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO