mgeni rasmi Mkurugenzi Idara Ya Sanaa Leah Kihimbi na Mkurugenzi Abbas Maswood
Zaidi ya watu mia mashughuri walifika  katika kusherehekea miaka 100 ya nywele za Kiafrika, shughuli hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam tarehe 15 Agosti
Ulikuwa ni uzinduzi wa kipekee.
Na yote ni kuhusu uwezeshaji wa mwanamke wa Kiafrika.
Mandhari ya shughuli hii ilikuwa ni "Kila ndoto ni halali" Usiridhie
Darling Group, kama kiongozi wa soko la nywele  na biashara za huduma ya nywele Afrika , walitambulisha bidhaa zao mbalimbali za Aliyana professional kwa watengeneza nywele wote nchini Tanzania. Tukio hilo pia lilipambwa na wanamitindo mahili wa Tanzania.
  
Malkia wa mipasho akipagawisha

Mkurugenzi Abbas Maswood akikaribisha wageni

wageni wakiserebuka na Mark band wakiwemo Jackline Wolper na Martin Kadinda

Wanamitindo wakionyesha bidhaa bora za ALIYANA

wanamitindo wakiwa wamevaa magauni ya mbele ya wageni wakizindua mafuta ya nywele ya ALIYANA

Wanamitindo wakionyesha bidhaa bora za ALIYANA

wageni waalikwa wakibadilshana mawazo

wageni waalikwa wakibadilishana mawazo


Wakati maonesho ya mavazi yakiendelea, wageni walitambuliswa  mfululizo za bidhaa za nywele  za  Aliyana Professional Shine na Aliyana Professional enrich zenye ubora wa hali ya juu katika kuimarisha nywele.
Wanamtindo  walipewa nafasi ya kuingiliana na watengeneza nywele hodari ambao Tanzania inaweza kujivunia nao.
Tukio hilo lilibarikiwa na uwepo wa mwakilishi wa Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Nnauye. Ambaye ni Mkurungenzi Idara Ya Sanaa na Utamaduni, Leah Kihimbi.
Mwakilishi mwandamizi wa kampuni hiyo hapa Tanzania, alizungumza kuhusu kundi hilo changa la Godrej Group lenye  miaka 119  likiwa na uongezeko la uwepo wake  barani Afrika, Amerika ya Kusini, na Asia.
Kundi hilo la Godrej Group ni wamiliki wa Darling Group katika nchi 14 za Afrika, ambapo Darling ni kiongozi wa soko la nywele na huduma za nywele.
Msemaji wa kampuni hiyo aliwakaribisha wageni waalikwa   kuwa sehemu ya safari hii ya kusisimua nchini Tanzania, sababu bidhaa mbalimbali za Aliyana Professional ni kutoka katika uimara huo.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO