Wasanii wa kijiji cha Katumba wilayani Mpanda wakicheza ngoma ya Kasimbo  wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016.

Wananchi wakionyesha mabango wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye uwanja wa Kashaulili  mjini Mpanda kuhutubia mkutano wa hadhara  Agosti 21, 2016.  Katika hotuba yake Waziri Mkuu alizitolea majibu kero zote zilizoandikwa  kwenye  mabango hayo akiwahusisha watendaji wa Halmashauri, mkoa na wilaya. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO