Kamishna Msaidizi wa Polisi Fortunatus Musilimu Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu (kushoto),akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Fasta Fasta, Prasada Acharya waandaaji wa Tamasha la Pamoja Carnival linalotarajiwa kufanyika Septemba 24 mwaka huu kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, wakati wa utambulisho wa huduma ya usafiri wa haraka na salamakwa njia ya mtandao janaViongozi wa ambao ni waandaaji wa Tamasha la Pamoja Carnival wakifuatilia maelezo kuhusu tamasha hilo, wakati yakiwasilishwa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO