Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Stephen Kebwe, akiwa juu ya kiberege akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mzaganza,  Kata ya Kidete, wilaya ya Kilosa, jana alipokuwa katika ziara ya  ukaguzi   na kuona  uharibifu wa mazingira  unaotokana na shughuli za kibinadamu kando  kando ya  njia ya Reli ya Kati  na  maeneo  korofi za  ya mafuriko ya mvua  na kukwambwa kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Kidete , alipoambatana na  viongozi wengine wa  serikali ya mkoa huo, TRL makao Makuu  , Sumatra  na wenyeji wao wa Kilosa .( Picha na John Nditi).


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO