MTU mmoja mwenye umri wa miaka 62 amekamatwa katika klabu moja inayoruhusu ngono alama ya aina yoyote nchini Australia akituhumiwa kuweka tindikali (hydrochloric acid) katika mashine inayotoa vilainishi vinavyotumika katika ngono.
Hata hivyo haikuwepo athari yoyote kwa kuwa tukio hilo lilidhibitiwa haraka.
Klabu hiyo ya Aarows iliyopo kaskazini magharibi mwa Jiji la Sydney hutumiwa sana na mashoga na wale wenye tabia za mchicha mwiba.
Kubainika kwa tukio hilo kunatokana na  mashine nyingi katika klabu hiyo kuwekewa ulinzi wa kiteknolojia ambapo hutoa mlio ikiwa kuna mtu kaivuruga.
Polisi wamesema kwamba hawajaelewa nia ya mtuhumiwa.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO