Mkuu wa wilaya ya Muleba  Bw Richard Ruyango , akifungua rasmi tamasha la Tigo fiesta kwenye uwanja wa David Zihimbile wilayani humo usiku wa jana, Kulia ni Meneja wa Tigo kanda ya ziwa Edgar Mapande na kushoto mkurugenzi wa vipindi clouds Ruge Mutahaba na mwakilishi kutoka wilayani.Msanii Christian Bella akipagawisha kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile.

Msanii Joh Makini akiwarusha mashabiki wa hip hop kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile.

Msanii Raymond akionyesha umahiri wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile.

Msanii Shilole akiwa na shabiki wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile.

Msanii chipukizi wa super nyota aliyebahatika kushiriki fiesta ya mwisho litalofanyika jijini Dar Es salaaam
Sehemu ya umati uliohudhuria tamasha la Tigo fiesta Muleba

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO