Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia kwake) wakikagua  vipando vya kabeji wakati walipotembelea  banda la Magereza kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti8, 2016. (Picha zote na Ofisi ya waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha karoti zilizostawi vizuri wkati alipotembelea banda  la Mapanda Mkoani Katavi katika maonyesho ya wakulima Nanenane  kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016.   Kulia kwake ni mkewe Mary

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia  wananachi wakati lipotembelea maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016.  Kushoto kwake ni mkewe Mary

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akitazama vitunguu vilivyopandwa kwenye gunia namna ya kilimo  ambacho ni muafaka  kwa watu waishio mijini hasa magorofani. Alikuwa akitembelea maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Maonyesho wa John Mwakangale wa jijini Mbeya

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO