Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (kulia), Rais wa Msumbiji,  Filipe Nyusi (wapili kulia) na Mwenyekiti  wa Umoja wa Afrika (AU), Madame Nkosazana Dlamini- Zuma kabla ya kuanza kwa Mkutano wa African Peer  Review Mechanism Forum (APRM) kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni  kabla ya kuanza kwa Mkutano wa African Peer  Review Mechanism Forum (APRM)kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakishiriki katika Mkutano wa African Peer  Review Mechanism Forum (APRM)kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO