Watu wenye mapenzi na vyombo vinavyotumika katika usafiri wa anga leo alasiri walipata raha waliposikia mlio wa kigeni kutoka katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere na kushuhudia ndege kubwa ya XL aina ya Airbus A330-300 ikipasua anga.

 Ndege hiyo ambayo haina ya kawaida ya kutua katika uwanja wa Dar iliwafanya wapenzi hao kuanza kuliza kulikoni au kama dude hilo kubwa ndio limeshaanza safari zake za Dar –Paris.
Tanzania ambayo ina MOU na Ufaransa kuhusu usafiri wa anga toka enzi za Mwalimu Nyerere imekuwa haina usafiri wa moja kwa moja wa ndege za Ufaransa kwa muda sasa.
Hata hivyo katika siku za karibuni makampuni ya Ufaransa yameongeza shughuli zao nchini Tanzania na viongozi wake wakubwa wameshatembelea.
Ingawa kila siku kuna ndege kubwa zinaptika anga la Tanzania na hivyo kuongeza kipatio kwa kuwa huomba kibali cha kutua kama dharura inatakiwa katika ndege hizo,kutua kwa ndege ya XL ilileta tashwishi.

Ndege hiyo iliyotoka Mayote ilitua dar kwa kibali kutokana na  makubaliano ya kimataifa kwa sababu za kiufundi.

XL Airways France flight SE 1693: Multiple routes

FLIGHT SCHEDULE
Direct Flights:
Sat 10:45 Dzaoudzi (DZA) 12:30 Dar Es Salaam (DAR)
SE 1693 Non-stop Airbus A330-300 (333) 1:45 Operates only on 2016-09-03
Sat 13:15 Dar Es Salaam (DAR) 21:10 Marseille (MRS) 1
SE 1693 Non-stop Airbus A330-300 (333) 8:55 Operates only on 2016-09-03
Sat 22:00 Marseille (MRS) 1 23:30 Charles De Gaulle, Paris (CDG) 2A
SE 1693 Non-stop Airbus A330-300 (333) 1:30 Operates only on 2016-09-03
Non-Direct Flights:
Sat 10:45 Dzaoudzi (DZA) 21:10 Marseille (MRS) 1
SE 1693 1-stop Airbus A330-300 (333) 10:40 Operates only on 2016-09-03
Sat 13:15 Dar Es Salaam (DAR) 23:30 Charles De Gaulle, Paris (CDG) 2A
SE 1693 1-stop Airbus A330-300 (333) 10:25 Operates only on 2016-09-03
Sat 10:45 Dzaoudzi (DZA) 23:30 Charles De Gaulle, Paris (CDG) 2A
SE 1693 2-stop Airbus A330-300 (333) 12:10 Operates only on 2016-09-03

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO