Mshindi wa shindano la kumtafuta mrembo wa kimkoa Kigoma mwaka huu Asha Ibrahim (kati kati aliyevaa Crown) akiwa na washindi wenzake Judith Ernesh (kushoto) aliyeshika nafasi ya pili na Munde Nasibu (kulia) aliyeshika nafasi ya tatu. (Picha na Fadhili Abdallah)

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO