Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza 
 Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea mara baada ya kumalizika kwa
 Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016

PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim  Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO